Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa mujibu wa Taarifa za dunia, ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Pemba ndio eneo lililoongoza kwa mauaji ya raia, wakiwemo watoto na vikongwe.
Wote waliounga mkono Maalim Seif na upinzani walishughulikiwa ipasavyo, zipo tetesi kwamba kulikuwa na majeshi ya kukodi kutoka nchi za kigeni ili kuisaidia CCM kushinda kwa mabavu.
Sasa leo tumeipeleka OPERESHENI HAKI Pemba kwa lengo la kuhamasisha uwepo wa Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi ili kuleta haki nyakati zote ikiwemo na wakati wa Uchaguzi, Tunaamini baada ya Katiba Mpya na Tume Huru hakutakuwa na mauaji tena, wala hakutakuwa na Askari wa kukodi.
Picha : Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe akiwasili kisiwani Pemba kuongoza Operesheni Haki