Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi.
Video hii ya Mapokezi ya Mwamba itakuonyesha kwanini ilikuwa lazima Majaliwa apitishwe bila kupingwa ili kulinda heshima yake.
Video hii ya Mapokezi ya Mwamba itakuonyesha kwanini ilikuwa lazima Majaliwa apitishwe bila kupingwa ili kulinda heshima yake.