Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ameua kabisa CCM, kinyume kabisa na wengi walivyodhaniUchaguzi wa 2020, kwa kweli uiliwafanya watu qwnye akili kumdharau kabisa marehemu, na kumwona ani mtu ambaye hakuwa na faida kwa Taifa.
Ni marehemu ndiye anawafanya wabunge hawa waliopitishwa kishetani, kukosa kabisa confidence mbele ya wapiga kura.
Upuuzi mtupu
Kisongo mambo ni motooo...Upuuzi mtupu
Moto umewakaChama liko ndani ya mioyo ya WaTanzania......
Malipo ni hapa hapaKisongo mambo ni motooo...
Alikuwa Hamnazo kweli kweli. Na hata watu wanaomsapoti wote wana sifa hizo hizo!Uchaguzi wa 2020, kwa kweli uiliwafanya watu qwnye akili kumdharau kabisa marehemu, na kumwona ani mtu ambaye hakuwa na faida kwa Taifa.
Ni marehemu ndiye anawafanya wabunge hawa waliopitishwa kishetani, kukosa kabisa confidence mbele ya wapiga kura.
Dj anapaa tu kwa kutumia ndege za rais MagufuliHilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi.
Video hii ya Mapokezi ya Mwamba itakuonyesha kwanini ilikuwa lazima Majaliwa apitishwe bila kupingwa ili kulinda heshima yake.
View attachment 1821949
Haaahaaa mkuu si tuliambiwa CHADEMA ipo mjini tu??Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi.
Video hii ya Mapokezi ya Mwamba itakuonyesha kwanini ilikuwa lazima Majaliwa apitishwe bila kupingwa ili kulinda heshima yake.
View attachment 1821949
Magufuli hana ndege na wala hakuwahi kuwa nazoDj anapaa tu kwa kutumia ndege za rais Magufuli
Kuna comments zingine huwa ni za kijinga sanaDj anapaa tu kwa kutumia ndege za rais Magufuli
Duuh Watu utadhani wamekutana na NabiiHilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi.
Video hii ya Mapokezi ya Mwamba itakuonyesha kwanini ilikuwa lazima Majaliwa apitishwe bila kupingwa ili kulinda heshima yake.
View attachment 1821949
Tena mpinzani wake aliporwa Fomu mbele ya DED na mapolisi Kwenye ofisi za Msimamizi.Maskini Majaliwa akaingiwa na Ile roho katili akakubali mbinu za kihuni 2020 kuwaengua wachujiaji wenzake kibabe kwa msaada wa dola.Hili litamgarimu 2025 asisubutu gombea nafasi ya juu.