Operesheni Haki yatinga Ruangwa, Umati wajitokeza kumpokea Freeman Mbowe

Maskini Majaliwa akaingiwa na Ile roho katili akakubali mbinu za kihuni 2020 kuwaengua wachumbiaji wenzake kibabe kwa msaada wa dola.Hili litamgarimu 2025 asisubutu gombea nafasi ya juu.
Kila ubaya utalipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…