Operesheni imeanza. Ukraine wasukuma Warusi nyuma kilomita sita

Na muda utafika WA Wazanzibar kuchukua kilicho Chao
 
Poleni Sana Wanamagharibi.
Hiyo counter offensive walioanzisha Ukraine imeleta hasara Sana ya vifaru vya Ujerumani na Ufaransa pamoja na Ndege moja ya suk 25.
General wa Nato amekiri Nato haijajipanga kupigana na Russia. Chanzo RT kasome wameweka video
 
Na muda utafika WA Wazanzibar kuchukua kilicho Chao

Kipi hicho kilicho chao na hao Wazanzibari ni akina nani, au unaongea kuhusu waarabu waliotokea kwao huko wakaja kujimegea visiwa vya Afrika.
 
kwani urusi bado hajaichukua hiyo nchi mbona kama kaanza kuteseka wakati SMO ilikua nisiku tatu?


Siku tatu!!, wakati majambazi yote ya NATO yameamua kumsaidia jambazi mwenzao Zelensky !!--- majambazi kwa umoja hayajambo.🤣🤣
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo


[emoji298]Ukrainian defenders eliminated about 800 Russian invaders in the past day, as well as 12 enemy tanks, 20 armored combat vehicles, 36 artillery systems, 6 multiple launch rocket systems, 2 air defense systems, 1 helicopter, 23 unmanned aerial vehicles, 35 cruise missiles, 20 motor vehicles, and 5 special equipment units.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kipi hicho kilicho chao na hao Wazanzibari ni akina nani, au unaongea kuhusu waarabu waliotokea kwao huko wakaja kujimegea visiwa vya Afrika.
Zanzibar NI zawad ya MUUMBA Kwa. Wazanzibar kama nyinyi mlivyopewa Tanganyika waganda wakapewa Uganda na wakenya wakapewa Kenya so bro TULIA Tanganyika ndio uliyopewa na Mungu na uridhike nayo
 
Kwani Rusia si ndio inauwezo hata wakupiga dunia nzima sasa vijambazi vinamsumbuaje siangevifuta tu


Hivyo vijambazi si ndio kila mwaka vinakusaidia 40% ya budgeti ya nchi yako!!, akiviua na wewe (sisi) tutapata wapi hiyo 40% ya budget yetu??!😏
 
Aisee!!,hivi kwanini we Myukrainee wa Kibera hupati usingizi muda huu (3:18 Am deep night) ??!!--- Mrusi mbaya sana hadi anawakosesheni usingizi !! [emoji1787][emoji1787].

Mimi nipo macho muda huu kujiandaa na swala ya Tahajjudi na Alfajir.
Ulivyo fwala, unajisifu kuwa mtumwa wa imani za waarabu huko, kweli kuna majitu mpo mpo tu.
 
Ni ngumu sana kuwatenganisha pro Urusi na matatizo ya akili.
Uwa mnawaza nini vichwa mwenu?. Et leo nimesema Quora😂😂.
 
Russia Yuko Hoi mpaka kaanza kununua silaha (Iran) na spare parts kutoka nchi ambazo aliziuzia silaha kama India [emoji23][emoji23][emoji23]

India imeanza kupunguza utegemezi wa silaha toka Russia,tangu vita ya Ukraine ianze market share ya silaha za Urusi imeshuka kufikia 45% toka 60% ambapo India sasa inaegemea kwa Ufaransa ambayo market share yake imefikia 29% na Marekani 11%. Jana Ujerumani wamesema wapo kwenye mazungumzo na India kuwatengenezea diesel submarines.

Marekani ilipigana Vietnam miaka na miaka,ikaenda Iraq hatukuwahi sikia inaomba silaha au spare parts toka kwa allies.


Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Germany expected to sign $5.2bn deal to manufacture submarines in India



Germany’s defence minister Boris Pistorius arrived in India on Tuesday for a two-day visit, and the top agenda of the visit is a $5.2bn deal that involves the manufacturing of six diesel submarines for the Indian Navy. The submarines will be made in India, a major win for India’s campaign to boost local defence manufacturing.

The deal is expected to be announced at a time when Russia’s defence industry is struggling due to the Russia-Ukraine conflict, prompting India to look for other partners to source military hardware for its armed forces
Germany expected to sign $5.2bn deal to manufacture submarines in India

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…