Operesheni Okoa Bandari ya CHADEMA kutua jimbo la Luhaga Mpina

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Operesheni ya Okoa Bandari zetu sasa ni zamu ya wakazi wa Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara ambapo itawafikia wananchi wa Jimbo la Kisesa linaloongozwa bungeni na Luhaga Mpina.

Mbowe na Tundu Lissu watafika Jimbo la Kisesa kuwaeleza wananchi kuhusu suala la Mkataba wa Bandari
 
Natamani Makamanda wamsifu huyu Mwamba CCM.
 
Mbowe na Tundu Lissu watafika Jimbo la Kisesa kuwaeleza wananchi kuhusu suala la Mkataba wa Bandari[emoji419][emoji375]
 
Natumaini Mpina atapanda jukwaani
 
Mbowe na Tundu Lissu watafika Jimbo la Kisesa kuwaeleza wananchi kuhusu suala la Mkataba wa Bandari
Pia wawaelekeze wananchi hao ubaya ajenda za vitendo vya mahusiano ya jinsia moja na wahimize sheria kutumika kwa wote wanaojihusisha na vitendo hivyo.
 
Pia wawaelekeze wananchi hao ubaya ajenda za vitendo vya mahusiano ya jinsia moja na wahimize sheria kutumika kwa wote wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Wasisahau kupandisha jukwaani Wainjilist na kuwasomea Waraka wa TEC wahudhuriaji pia wasisahau kumtukana Mh.Rais na ma Rais waliopita
 
Mbowe na Tundu Lissu watafika Jimbo la Kisesa kuwaeleza wananchi kuhusu suala la Mkataba wa Bandari[emoji419][emoji375]
Hivi Elimu kwa wananchi juu ya sera na mipango ya Chama hicho cha Chadema kuwaletea maendeleo Watanzania imeishaeleweka nchi nzima kweli? Au hilo jukumu si Muhimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…