Operesheni safisha wanigeria nchini


Tuanze na wachina kwanza hapa kijitonyama wanazalisha sana dada zetu pale udsm waliokuwa wanajenga jengo la gesi na madini wamezalisha sana dada zetu ubungo kimara n.k

Tuanze na hao japo najua kuna kazi ya ziada na itakuwa ngumu kweli
 
UPUMBAVU! Afrika ni moja! Waafrika wote wanakaribishwa Tanzania na wewe pia hujakatazwa kwenda huko nje!
Lakini kama ni kupunguza watu naomba tuwapunguze wakenya......wameja aisee!

Acha ujinga afrika moja katika wizi na upuuzi

Unawataja wakenya mbona hutaji , wanyarwanda unakotoka wewe
Shwain,,,,,,
 

Naona unaongea tu bila data , wanaijeria wameliza watu kibao sana hapa bongo

Nakushangaa kutetea upuuz
 
Naona unaongea tu bila data , wanaijeria wameliza watu kibao sana hapa bongo

Nakushangaa kutetea upuuz


Mbona Wahindi, Waarabu akina Bakhresa na Dewji wanaiba kila siku meno ya Tembo hamlalamiki?
Acheni Ubaguzi dhidi ya Waafrika wenzetu!


Ni nani kamaliza Madini yetu nakubakiza Mashimo ni Wanigeria? ni Nani anaiba Gesi yetu juu kwa juu ni Wanigeria? Ni nani anaiba Twiga wetu na meno ya Tembo ni Wanigeria?
 

Kwa hiyo unataka basi kwa kuwa hao wamefanya hvyo ndo turuhusu sasa kila mtu

Afu hao uliowataja n watanzania na hapa tunaongelea wanaijeria
 
Kwa hiyo unataka basi kwa kuwa hao wamefanya hvyo ndo turuhusu sasa kila mtu

Afu hao uliowataja n watanzania na hapa tunaongelea wanaijeria

Tangu lini Muhindi/Mwarabu akawa Mtz acha kujifdanganya ndugu!
Usilishwe chuki dhidi ya Waafrika wenzako na kufanya mambo usiyoyajua, kama kuna Mnigeria kakuibia basi muhukumu yeye kama yeye na SIYO kuhukumu Wanigeria wote wanaoishi nchini kwetu, hawa ni Waafrika wenzetu kama sisi tu!
 
Polisi wetu wengi walifeli kidato cha nne, mtandaoni bado wadhaifu xanaaaa
Wanachojua ni kuwanyanyasa madereva wa malori
Pambafu sao
 
Ni kweli mkuu hawa watu ni hatari sana. Hata kwenye hoteli ndogodongo za Kariakoo wamejaa. Nikajiuliza wanafanya nini hapa hawa watu? Angalau Wamalawi, Wazambia, Wakongo; Wakomoro wanakuja kuchukua bidhaa ndo maana utakuta wako wengi Kariakoo lakini Wana-Nigeria wanafanya nini hapa nchini? Polisi amkeni mtuondelee hawa matapeli nchini kwetu.
 
Mbona Wahindi wamejaa Mjini na hausemi? acha chuki dhidi ya Waafrika wenzako wewe! Usisahahu ya kwamba Watz kama wewe pia walichomwa moto Afrika Kusini na Waafrika wenzao kwa ajili ya chuki kama hizo!
amka acha kulishwa chuki, wanaokuibia hapa Nchini SIYO Wanigeria bali ni Wahindi, Waarabu, Wachina na wazungu!
 
ni wageni wa ccm
wakishawaliza ndio mtajua walivyo kiboko na vi ATM vyenu vya NMB. subiri mtakuja mkilia muda si mrefu hapa.
 

Unaongelea kwenye angle nyingine kabisa mkuu wewe. Wahindi, waarabu, wachina na wazungu wizi wao unatokana na viongozi wetu kukubaliana nao, vinginevyo wasingeiba. Hawa wa-Nigeria ambao wewe unawaona kuwa ni waafrika wenzio na ninawabagua na kuwachukia siku wakikuliza ndo utajua tukisemacho. Hawa ni sawa na majambazi wanaovamia watu wanaohangaika kujitafutia riziki zao badala ya kwenda kuwavamia kama akina Chenge, Kikwete, Rostam Azizi, Riziwani Kikwete, Karamagi, Lowasa na washirka wao.
 

Hata weusi wa Afrika Kusini pia walikuwa wanasema kama wewe na mwishowe wakawachoma moto Ngozi nyeusi wote pamoja na Watz wenzetu lkn hakuna hata Muhindi, Mchina au Mjzungu aliyechomwa moto ingawaje waliowabagua na kuwatenga pmj na kuwaiba SIYO Waafrika wenzao weusi bali ni hao watu weupe!

Amka acha chuki dhidi ya Mwafrika mwenzako ambaye ni mweusi kama wewe, kama Mnigeria akikuibia basi mhukumu Mnigeria huyo aliyekuibia kama yeye lkn SIYO Wanigeria wote ambao ni Waafrika weusi wenzetu na kuja hoja kama hii ya kusema Serikali isake Wanigeria!
 
Humu kuna watu wanaingza nigerians nchini,na wanalipwa pesa ndefu sana,watu wanalipwa dola kufanikisha zoezi hili.
 

Shikamoo ochukwu ikeneju chineke
 

Wewe kama si Emeka Okuchwu basi utakuwa moja wapo wa hawa waliosemwa na huyu mkuu hapa chini
Humu kuna watu wanaingza nigerians nchini,na wanalipwa pesa ndefu sana,watu wanalipwa dola kufanikisha zoezi hili.
 
WaNigeria (mitandao yao imefunika) hela yao nje nje...Na wanajuwa kulisha wahusika.... Nani amkamate nani? Hawa jamaa ni hataree!!
 
Taarifa yako mzuri .tu tafanyia kazi.ila kwa sasa tunasughulikia vyama vya upinzani over
 
Mimi kama wawili nawajua hata visa hawana kama kunapolice anatka kuwakamata anipm
 
Nadhani Uhamiaji na Polisi zinahitaji kufumuliwa na kuundwa upya ili yaweze kuleta tija na ufanisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…