bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,117
HAWA JAMAA MAREKANI WANAWAOGOPA SANA kwasababu walishawaliza sana kwenye mitandao na kuwaibia mapesa sana kwenye mabank. sasa wamejaa mitaani sasaivi, uliza bodaboda yeyote akupeleke kwa mnigeria wanafahamika. wamepanga majumbani, hawafanyi kazi yeyote, wakifika wanajishikiza kwa kuoa dada zetu wakisubiri kupiga dili, wanaiba pesa ATM, ni matapeli balaa
MAENEO YA MIKOCHENI HUKU TUNAKOKAA WAMEJAA, hata kama nyumba nyingi ni geti kali lakini unawagundua tu, wanaweza kupanga nyumba nzima halafu wanaishi kama watano hivi hata kumi.
kimara nao nilimtembelea dadangu, nimewakuta wamepanga nyumba kimara. waendesha pikipiki ukiwauliza nyumba ya mnigeria iko wapi wanakupeleka, polisi mko wapi?
ajabu yake sasa, wengi wanakaa tu ndani. swali nililojiuliza ni je, isijekuwa kwenye hayo majumba wanayopanga wanafanya dili za UNGA,
au pengine wanafanya dili za kitapeli kutumia mitandao ya simu na computer (cyber crimes).
je? wanazo permit kuishi bongo? kwa kazi gani? na ajabu yake kwa bahati mbaya yao kiswahili hawajakijua vizuri hivyo ni rahisi kuwatambua.
SERIKALI INAFANYA NINI? MBONA HAWA JAMAA NI WAUZA UNGA?
MBONA HAWA JAMAA NDIO WANAO HACK MITANDAO YA SIMU NA KUIBIA WATU MPESA, TIGOPESA ETC?
MBONA HAWA NDIO WEZI WA ATM HADI MAREKANI WANAWAFAHAMU?
immigration, where are you?
Tuanze na wachina kwanza hapa kijitonyama wanazalisha sana dada zetu pale udsm waliokuwa wanajenga jengo la gesi na madini wamezalisha sana dada zetu ubungo kimara n.k
Tuanze na hao japo najua kuna kazi ya ziada na itakuwa ngumu kweli