Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

Laptop nitakuwa naiacha chumbani, Tv ipo sebleni

Hata nikiwa sipo nahitaji watu wengine waweze kuchagua video za kutazama kwenye TV bila kugusa laptop

Si kama hivyo mkuu,smart tv nying zinakubali mirror cast kama ilivyo kwenye pc
 
View attachment 3266078View attachment 3266079
Si kama hivyo mkuu,smart tv nying zinakubali mirror cast kama ilivyo kwenye pc
Hapo mkuu ume pair Manual, kila movie ukitaka kuplay unarudia process, ukiwa umetoka hata dogo anataka kuangalia katuni hadi akusubirie urudi.

Ukiwa na server unatengeneza Netflix yako mwenyewe local, mfano una hdd TB 1 umeweka movies zako 1000 zote zinatokea kwenye tv na zinapatikana 24/7 as long as pc na tv zipo connected na wifi.
 
Mkuu umenipa mwanga lakini bado sijawahi kuitumia hio software hivyo sijui chochote kuhusu kufanya configuration.
 
Je hapa bundle si kuwa linakata sana au inabidi pia kuwa sehemu yenye 5G sababu ya speed?
 
Tv gani ina os gani, uzi wako wa Server kuna watu wamekushauri jellyfin na Plex hizo ndio wengi wanatumia.

Issue inakuja pale pale umetumia cpu gani kutengeneza server, kama server yako inakula Mamia ya watts hapo ndio utaanza kuona Dunia chungu.
Natumia Plex media server kwenye raspberry pi 3 Model B iliyounganishwa na 3TB HDD.

Nastream kutoka Plex app ya Samsung TV Tizen OS. Plex haihitaji server iwe na uwezo kwasababu processing ya video inafanywa na TV sio server (unless kuwe na setting ya hivyo)

Pia kuna DLNA ambapo media files za plex zitajitokeza kama folder kwenye menu ya TV na zitaplay natively kwa player ya TV.

Mtoa mada nakupa option nyingine pia: SMB (Network Server) au imezoeleka kama Windows File Sharing. Iangalie kwa TV yako inawezekana vipi. Uzuri wake haihitaji any special software kwa PC.
 
Hongera kwako, tunaomba na wengine utuelekeze uambatanishe maelekezo ya kuseti hivyo vitu

tunaanzia wapi, tunaseti vipi, tunamalizia vipi.

Hicho kifaa cha raspberry sina, ninatumia laptop yenye windows 10.
 
Hongera kwako, tunaomba na wengine utuelekeze uambatanishe maelekezo ya kuseti hivyo vitu

tunaanzia wapi, tunaseti vipi, tunamalizia vipi.

Hicho kifaa cha raspberry sina, ninatumia laptop yenye windows 10.
Raspberry pi nimeitaja ili kuthibitisha kuwa huhitaji kuwa na device kubwa kutengeneza plex media server.

Maelezo watu washakupa nimeona hapo juu. Na mwangaza ushapewa mzuri tu ukidummbukia google au chatgpt unaoata step kwa step.

Tatizo lako ushatatuliwa mkuu hapo wewe tu kumalizia. Tengeneza netflix yako mwenyewe nyumbani. Na ukiongeza movie mpya kwenye laptop zinakuja kwenye TV recently added.

In general:
Install plex media server kwenye laptop

Kwenye Library, kuna Movies na TV Shows. Hapo weka folder ulikoweka movies na series zako kwenye computer

Iruhusu plex idownload metadata from online sources hapo utapata kama netfluix zile picha za movie official

Iache plex ifanye analysis/update ya library kwa muda. Itakupangia vizuri movie ni zipi, series ni zipi, season zipi, episode zipi, na kuload yale maelezo ya movie

Kumbuka ku set security keenye server kama mtu anahitaji authentication lazima alogin kwanza au ni free

Kwenye TV, download plex, ingia, add local library, weka IP address ya PC yako (i hope umeweka static IP kweny le router) - Otherwise login kwa email yako both kwenye plex media server na kwenye TV then Library ya PC yako itakuja kwenye TV.

Nimeandija utumbo tu hapo nnaokumbuka ila ukiresearch unapata process nzima
 
Hakuna bando la kutumika, video zinakuwemo kwenye computer.

Router inatumika kuunga Tv na computer hata usipoweka laini .
Nime download na kuistall plex kwenye laptop na simu android. Nimeshinda namna ya ku connect sasa niweze ku access files za kwenye simu kutumia laptop au ku access za kwenye laptop kwenda kwenye simu.

Natumia router ya airtel. Please naomba msaada nimesha sign up kote kuwili
 
Kwa ninavyofahamu arm soc zote zina media processor, ili video itoke kwenye plex itakuwa imeshakua processed tayari. Tv huwa zinaplay tu common format.
 
Kwa ninavyofahamu arm soc zote zina media processor, ili video itoke kwenye plex itakuwa imeshakua processed tayari. Tv huwa zinaplay tu common format.
Kuna option moja nilikuwa naiona kwenye settings: Directplay / Directstream kama sikosei. I think hiyo inahusika.

Nachelea kuamini kuwa pi ilikuwa inaprocess hizo video mkuu kwasababu tunaongelea 4K videos 10Mbps huko... Movie moja 6GB.

pi ya 15W iprocess hiyo video? 1GHz 2GB RAM? Nilishacode project moja ya video processing kwa ffmpeg na results zake nikaidrop mkuu... No juice. Nimeshatengeneza home security system running on raspberry pis / motioneyeos / motion daemon / ffmpeg... Ilibidi ni offload motion detection kwenda linux server... Na bado pi zinastream max 5fps.

Hata kabla ya kugoogle my intuition tells me video inaprocessiwa na TV, the server is simply streaming chunks of the file in streamable format
 
Chief-Mkwawa makes sense...


 
Media Encoder/decoder huwa ni separate na specs za kifaa husika, inajitegemea, ni kama vile Quicksync ama Nvenc unless soc husika haikubali kabisa.

Sema upo sahihi mkuu nimecheki online Plex hawasuport hardware encoder ya Arm, ila zipo programs nyengine zinakubali kama Emby.
 
Anhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…