Operesheni ya kuondoa Spika za matangazo Kariakoo Yaiva!

Waondoe na maspika ya kwenye misikiti. Wanatupigia makelele alfajiri wakati watu bado tunalala
 
Waondoe na maspika ya kwenye misikiti. Wanatupigia makelele alfajiri wakati watu bado tunalala
Hili la maana na kuna takataka zinaitwa walokole watu hawalali kwa upuuzi wanaoita maombi

Wanaomba usiku kucha kitu kisicho kuwepo kwa uhalali wa katiba
 
Hii nchi tunateseka sana aisee πŸ˜…

Speaker zote zikiongea kwa wakati mmoja hata kusikika hazisikiki zaidi ya fujo, sijui kwanini tumezoea uholela kiasi hiki.

NEMC kazi yao kutumbua hela tu kwenye mikutano yao ya mwisho wa mwaka, deliverables 0.
 
Kuna wale wanapita barabarani nao wana vispika. Mtu anauza dawa ya MBA,mapunye,utangotango wakati huo huo anauza sumu ya panya,mende kunguni yaani anauza dawa za binadamu na wanyama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna wale wanapita barabarani nao wana vispika. Mtu anauza dawa ya MBA,mapunye,utangotango wakati huo huo anauza sumu ya panya,mende kunguni yaani anauza dawa za binadamu na wanyama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ya Madoooaaaaaaaa… Utando, sungusungu, sijui dah
 
Unakumbuka nilisema tunaishi kama nini? Ndio mambo kama haya. Kwa akili za binadamu wa kawaida ile chaos una tolerate vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…