sifutwe
ila wapewe watu ambao ni wazarendo,maana pale bodi kuna watu hawashauriki,wanafanya kazi kwa mazoea,hawana huruma na wazazi wetu,ndhani Mh Rais anahitaji kuiangalia bodi kwa jicho la 3,kwani wafanya kazi wake wanawatumia wanafunzi kama mtaji,majina hewa kibao,wanacheza na herufi tu,kwa mtindo huu hatuwezi kufika
lakini sielewi kamati za bunge hazilioni swala hili? majina hewa.mikopo kutofika kwa wakati,wenye uwezo kupewa mikopo na wasio na uwezo kunyimwa mikopo,OLAS kuto kufanya kazi ipasavyo
kiukweli kuna matatizo chungu mzima ili yatatuliwe kunahitaji wafanyakazi wote kuondoshwa kwani kuanza upya si ujinga