Opinion;Bodi ya mikopo vyuo vikuu ifutwe

Naunga mkono lakini serikali imeshasema ni mzigo mkubwa kuwasomesha wanafunzi wa vyuo vikuu hivyo wanafikiria nini cha kufanya, tusubiri means testing za mwaka huu zitakuwaje.
 
Naunga mkono hoja asilimia 100،au wafute combination za arts na biashara tujue moja sababu hao ndo waathiriwa wakubwa,wote sayansi kimu tukabanane
Wakitaka itowe hela kwa kila mtu kwa usawa!!!! Hata ikiwa miliooniiii. ....

Cheki; division 1 ABB HKL hana mkopo
Division 3 EES PCB anapewa 100%
 
Wana jf hii bodi imekua chanzo cha chuki baina ya watanzania,kabla ya kuundwa walisoma bila masharti na vikwazo kama vyao,my take bodi imeshindwa,haina kazi ni ulaji wa wachache.Nawasilisha

Hakuna elimu ya bure!!! Watanzania waliosoma bila vikwazo ndiyo wametufikisha hapa tulipo maana mfuko hauna pesa kwasababu watu walisomeshwa na hawajalipa mikopo. Kama kweli Tanzania tunamapendo na tunataka kusaidia nchi yetu basi tuanze na waliosoma Vyuo vikuu vya Tanzania na kupewa mkopo na wanaofanya kazi serikalini na mashirika ya umma waanze kulipa gharama na pesa ziende kwenye mfuko wa mikopo. Hatuwezi kuwadai na kuwanyima pesa watoto sasahivi wakati Mikopo ya Tanzania imeongeza kwa kiasi kikubwa deni la nchi na hawa watoto ndiyo watalipa madeni ya baba zao na kaka zao waliosoma bure.
 
Wanaajiriwa wanakatwa kodi,nadhani hata wahitimu waliokopeshwa na bodi wanakatwa kodi kulipia mkopo,hoja ni kua bodi haitekelezi wajibu ipo kwa maslahi ya wachache hivyo ifutwe
 
Wana jf hii bodi imekua chanzo cha chuki baina ya watanzania,kabla ya kuundwa walisoma bila masharti na vikwazo kama vyao,my take bodi imeshindwa,haina kazi ni ulaji wa wachache.Nawasilisha

Cha kushangaza awali walisema hela za kutoa mikipo zimeisha cha kushangaza kuna waliofuatilia na mikopo baada ya kukosa ndo wamepata sasa je hizo hela zimetoka wapi? Na kwenye budget ipi?
 
wamepata lini wewe? mbona unataka kuhadaa watu hapa? vijana wanaendelea kulia njaa, we unasema hela wamepata?
 
Chanzo cha migogoro na maandamano ni bodi hiyo,je ipo kwa faida ya nani ikiwa wanafunzi hawapewi mikopo?
 
HAKUNA ELIMU YA BURE DUNIANI KOTE
Hata kula ulaya elimu yao sio bure bali serikali ndio inagharamia baadhi ya gharama,tena ni bora tanzania vitu vingi bado tunapata bure kama wanafunzi,lakini waliosoma ASIA wanajionea wenyewe,mwananfunzi akitaka maji ya moto atanunua kwa kadi-je tanzania tunalo hilo? mwananfunzi anaposafiri kutoka kampasi moja kwenda nyingine atalipia usafiri-je tanzania ipo hiyo(niliona pale sua mabasi ni free) umeme unahesabiwa units-je tanzania ipo hiyo?.internet unalipa kwa GB utumiazo je tz ipo hiyo?

so hakuna kitu cha bure jamani,sisi tumedekezwa sana,ingawaje tunakopeshwa na tutakuja kulipa,tunacholaumu hapa ni mchakato mzima wa utoaji wa kimopo hiyo,maana hata wenye mali ,watoto wa vigogo nao wanapewa sana na watoto wa wakulima na basi mkopo wenyewe uje kwa wakati la hasha ni tabu tu
 
Acha uongo, kuna nchi elimu hailipiwi na individuals. Niambie chuo kipi cha umma Norway ambacho wanafunzi wake wanalipa tuition fee. Na huo ni mfano mmoja tu!
 
Wana jf hii bodi imekua chanzo cha chuki baina ya watanzania,kabla ya kuundwa walisoma bila masharti na vikwazo kama vyao,my take bodi imeshindwa,haina kazi ni ulaji wa wachache.Nawasilisha

pendekeza mbadala wake, ikifutwa halafu iweje?
 
Wana jf hii bodi imekua chanzo cha chuki baina ya watanzania,kabla ya kuundwa walisoma bila masharti na vikwazo kama vyao,my take bodi imeshindwa,haina kazi ni ulaji wa wachache.Nawasilisha

Subiri serikali sikivu iingie madarakani ndo uishauri kitu kama hiki ila kwa hii ya sasa unapoteza muda wako maana si sikivu hata kidogo!
 
Ikifutwa kiundwe chombo maalum chini wataalam wa elimu watakaochaguliwa baada ya kukidh vigezo,na si kuteua wanasiasa kama ilivyo sasa
 
Hujatoa altenatv, so naweza sema hii ni pumba.
We unataka wasome watoto wa ma-mp tu au?
Coz ya bei chee kabisa ni tsh.laki 7 per yr, (udom) hiyo ni minmum, wangap wataweza afford?
Bado accomodation, mels, stationary.. Wewe hiyo pumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
usikurupuke-umeambiwa ifutwe kiundwe chombo maalum kitakacho kidhi mahitaji wananchi wote si kama ilivyo sasa-labda umetoka usingizini maana upo out of topic
 
enzi zetu ubishgi ulikua unamalizwa kwa marks - division 1 kwanza, 2 wanafuatia kama hela bado ipo wenye 3 za kwanza wanapewa kwa iyo kila mtu alikua anajua kupata pesa ya serikali ni makamuzi tu sio sasa mara mna uwezo wakati haman mara serikali haina pesa na kila dalili yta uongo ndio shida warudishe tu system ya zamani iliyokua inatufanya watoto wa maskini tulale miguu kwenye maji kuzitafuta wani!
 
Back
Top Bottom