Opontia/Prickly pears/Indiani Pears, mmea ambao one day tutajilaumu sana

Tumeyala sana kijijin kwetu.matunda yake ndan njano sana na unga unga.
 
Ni mazuri sana Mwilini kuliko matunda mengi sana,na pia ni comercialy kwa wenzetu,na pia majani yake yanafaida lukuki sana,
 
ungesema "itaendelea" umeishia juujuu ndo maana watu wanakuwakia chief.
Hakuna mtu anaye weza nipangia jinsi ya kupost,Pia hizi privkly pears ukiingia google kuna habari zake nyingi changu nzima.Kuna mtu kanifuata Pm ka google na anastajabu kabisa.
 
Sawa mkuu ila hata demu wako akikupa utamu nusunusu najua utamind tu, japo utamu ni wake na hakuna wa kumpangia jinsi ya kutoa.(just joking dude), usije ukanipopoa bure,
 
Back
Top Bottom