Oppenheimer ni movie yenye story nzuri sana ila wengi wanaiona complicated

Oppenheimer ni movie yenye story nzuri sana ila wengi wanaiona complicated

Hao watunzi wa hizo movie hawana tofauti na watunzi wa vitabu miaka ya nyuma waliotupumbaza ili tuwaone miungu watu, we kama ushachotwa akili lazima ujione mjuaji wa utumbo wao kumbe ni brainwashed mmoja katika ubora wake.
Movie kwangu ni burudani yenye elimu ndani yake, nikitaka history au physics at least documentary ntaangalia, nje na hapo ni vitabu ngumu kumeza sio kulainisha kwa kutumia movie zilizojaa chumvi na mental conditioning za kila namna.
By the way hata hiyo movie ya Yesu ni the biggest mind controling scenario.
Hunaa akili, sijui kwanini unalilia kila movie iwe kwenye niche yako. Unajiitaje "Smart Contract" na hapa unaonekana ni "Bogus Contract".
 
Oppenheimer ni movie yenye story Nzuri sana ila wengi wanaiona complicated, au niseme boring, kwa wale ambao hawana uelewa sana na mambo ya physics.

Hapa nimejaribu kuielezea kwa nilivyoielewa ili kutoa mwanga tuu kwa wale ambao iliwashinda kuangalia, vuta popcorn [emoji897] zako kwende sawa.

Hili tambara limeandikwa na Christopher Noah moja kati ya Director bora wa muda wote ambae movie zake nyingi zinaelezea actual science rather than science fiction na aina hii ya uandishi ndio imempa umaarufu mkubwa.

Story line:
Movie inamuhusu Robert Oppenheimer mwanaphizikia ambaye alikuwa anaongoza project wa kutengeneza Atomic bomb ili litumike kuimaliza vita ya pili ya dunia mapema ili kuokoa maisha ya wanajeshi waliokuwa wakifa kila siku kwajili ya vita hiyo.

Movie hii imekuwa designed kwa mfumo ambao story inakuwa inarudi nyuma (Flashback) huku story ikiwa inaendelea {nonliner structure} . Lakini kama kawaida ya Christopher Noah haishiwi ubunifu [emoji119], kwenye hii movie ametuwekea flash back za aina mbili moja B&W (Fission 2) na nyingne colored (Fission 1) .

ile B&W inajikita kuelezea maisha ya Lewis Strauss( Fission 2) ambaye alikuwa Head of Atomic energy commission na alikuwa akigombea kuwa secretary of commerce kwa wakati huo ;

Lakini ile colored ilikuwa ikiongelea maisha ya Dr Robert Oppenheimer sana sana kabla ya atomic bomb attack.

Tuanze na maisha ya Dr Robert Oppenheimer ;

Generally Robert alikuwa ni mwanafunzi nchini ujerumani japo yeye ni mmarekani, katika kusoma kwake alijikita na Quantum physics & Mechanic na alikuwa expert sana kwenye haya masomo,

baadae akaanza kufundisha kama lecture nchini Netherland kisha akaenda kujiendeleza na masomo katika chuo kimoja U.S ambapo alihitimu na kutunukiwa Doctor degree in Quantum physics & mechanic.

Akaamua kwenda kufundisha nchini kwao Marekani, ambapo alianza na mwanafunzi mmoja kisha siku baada ya siku wanafunzi wakawa wanaongezeka kutokana na kuvutiwa na kile alichokuwa anafundisha.

Baada ya hapo siasa ikaanza kuingia paka darasani kuna lecture mwenzake akamshauri aachane na hayo mambo ya siasa ,

wakati huo huo ikaibuka taarifa kiwa Mjerumani ameanza kutengeneza atomic bomb hapo ndipo movie ikaanza sasa.

Robert akaamua kuiangia rasmi kwenye harakati za kutengeneza Atomic bomb lengo kubwa ilikuwa ni kuhakikisha wao ndio wanakuwa wakwanza kutengeneza silaha hiyo kabla ya mjerumani wakiamini kwamba silaha kubwa kama ile ikimilikiwa na mjerumani haitakuwa mikono salama.

So generally movie nzima inaanzia hapo director amejikita kwenye mambo mawili;

Kwanza science behind the whole process paka bomb linakamilika.

Pili Maisha ya Robert Oppenheimer baada ya bomb alilolitengeneza kutumika kuilupua japan, hapa yaliibuka mambo mengi na ndipo tutamuona Lewis Strauss na roho mbaya zake.
Nimekuwa nikifuatilia historia za WW2 zikiwemo fact based docudrama nyingi za Opennheimer...
Kwa kuangalia movie, itakuwa kama nilivyosoma kitabu cha "Godfather" halafu nikaja kuangalia Trilogy zote za Godfather kwenye movie.
Nilipata mfadhaiko kutokana na uongo mwingi kuliko uhalisia.....
 
Hunaa akili, sijui kwanini unalilia kila movie iwe kwenye niche yako. Unajiitaje "Smart Contract" na hapa unaonekana ni "Bogus Contract".
Hunaa akili, sijui kwanini unalilia kila movie iwe kwenye niche yako. Unajiitaje "Smart Contract" na hapa unaonekana ni "Bogus Contract".
waambie moderator wabadili jina liwe bogus contract,
ukishindwa hoja usikimbilie kutukana
 
Dhumuni la movie ni entertainment yaani mtu uumize kichwa kuangalia movie ili ugundue nini? kama ni swala la historia au fizikia vitabu vimejaa tele library katulize kichwa huko usome, yaani movie nitulize kichwa kuielewa, hapo hakuna maana ya entertainmentni baro kuangalia documentary tu.
Movie isipoeleweka dk 15 za mwanzo ni yakutupa kule movie starehe bhana acheni ujuaji zipo movie complicated zaidi ya hiyo lakini zina burudani yake ndani, hiyo movie si kwamba ni complicated ni boring movie.
Movie nyingine huandaliwa kwa kundi flan la watu. Sisi tukomae na akina Mkojani tutafika tu.
 
Back
Top Bottom