OPPO F15 halisi na mpya unaipata kwa bei gani hapo mjini kwenu?

OPPO F15 halisi na mpya unaipata kwa bei gani hapo mjini kwenu?

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
Ndugu Mashabiki wa OPPO nipo katika savey ya simu tajwa. Ninalinganisha bei nipate uelewa. Je, kwa sasa simu hizi zikiwa mpyaa, OG zinacheza shilingi ngapi hapo mjini kwenu? Wale mliopo jirani na maduka makubwa tafadhali ninaomba msaada kufahamu.

Shukrani
 
Back
Top Bottom