Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Kama hutojali toa maelekezo ya ulipo nunua mkuu.Habari wadau humu jukwaaani,
Kama pengine kuna member ana simu tajwa hapo juu maybe imekufa mashine au shida ingine.
Mimi mdau mwenzake nina uhitaji wa kioo cha simu kama hiyo, kama yupo anicheki inbox au anijibu post yangu kisha tuone namna ya kuweza kufanya biashara nae.
Sihitaji kuingia gharama kubwa kununua kioo org online ambako ina cost zaidi ya 1.8 laki na ilhali simu nilinunua kwa 2.3laki used toka china na hata hapa napotype naitumia japo imevjia wono upande mmoja
soko la china [chinamainland]; linaitwa pindoudou chagua 99 percent like new simu used ziko kibao hukoKama hutojali toa maelekezo ya ulipo nunua mkuu.
Battery ilikuaje mkuu, kwa experience yako.soko la china [chinamainland]; linaitwa pindoudou chagua 99 percent like new simu used ziko kibao huko
Mkuu language barrier unavuka vipi, malipo Visa za M-Pesa zinaweza...!?, Usafiri pia ukoje.soko la china [chinamainland]; linaitwa pindoudou chagua 99 percent like new simu used ziko kibao huko
So, kioo sio Og? simu nyingi za soko hilo zina shida hii?Normal tu sema kioo ni replaced
Uzur seller wanaelezea shida ilizonazo ,kama kioo ,yaan kiupi ni wawazi hawafichi kitu kwenye maelezo yao ,kikubwa chat nae seller before hujanunua kujirozishaSo, kioo sio Og? simu nyingi za soko hilo zina shida hii?
Mkuu kwa simu mpya huko kwaweza kua na bei nafuu kuliko AliExpress.Uzur seller wanaelezea shida ilizonazo ,kama kioo ,yaan kiupi ni wawazi hawafichi kitu kwenye maelezo yao ,kikubwa chat nae seller before hujanunua kujirozisha