Oppo Reno 7 Chinese version

Oppo Reno 7 Chinese version

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,495
Reaction score
5,025
Habari wadau humu jukwaaani,

Kama pengine kuna member ana simu tajwa hapo juu maybe imekufa mashine au shida ingine.

Mimi mdau mwenzake nina uhitaji wa kioo cha simu kama hiyo, kama yupo anicheki inbox au anijibu post yangu kisha tuone namna ya kuweza kufanya biashara nae.

Sihitaji kuingia gharama kubwa kununua kioo org online ambako ina cost zaidi ya 1.8 laki na ilhali simu nilinunua kwa 2.3laki used toka china na hata hapa napotype naitumia japo imevjia wono upande mmoja
 
Sina haja na simu za mkopo na ni vile tu simu nimeielewa sihitji ife itabak kama secondary phone yangu
 
Habari wadau humu jukwaaani,

Kama pengine kuna member ana simu tajwa hapo juu maybe imekufa mashine au shida ingine.

Mimi mdau mwenzake nina uhitaji wa kioo cha simu kama hiyo, kama yupo anicheki inbox au anijibu post yangu kisha tuone namna ya kuweza kufanya biashara nae.

Sihitaji kuingia gharama kubwa kununua kioo org online ambako ina cost zaidi ya 1.8 laki na ilhali simu nilinunua kwa 2.3laki used toka china na hata hapa napotype naitumia japo imevjia wono upande mmoja
Kama hutojali toa maelekezo ya ulipo nunua mkuu.
 
Language mchawi google lens, visa inapokelewa na sasa voda wanahuduma ya alipay pia, usafir carrier like unique ,mmg silent mapembelo na wengine wanahusika kiongozi
 
So, kioo sio Og? simu nyingi za soko hilo zina shida hii?
Uzur seller wanaelezea shida ilizonazo ,kama kioo ,yaan kiupi ni wawazi hawafichi kitu kwenye maelezo yao ,kikubwa chat nae seller before hujanunua kujirozisha
 
Mkuu kwa simu mpya huko kwaweza kua na bei nafuu kuliko AliExpress.
 
Kuna utofauti ila kwa chinese smarphone unapata chinese version only
 
Back
Top Bottom