Opportunity For marketing students!

Opportunity For marketing students!

Naitwa Adam, ni marketing student at Norwegian School Of Business BI.

Nina idea ya biashara, ninahitaji team ya watu kadhaa.

Mlengwa ni.
Kijana wa kitanzania wenye ari ya ujasiriamali.
mwanafunzi wa marketing au mfanya kazi wa marketing.
Ujue Kiswahili fasaha na ujiweze kwenye kiengereza.
- kama unavigezo, Nijulishe ili nikupe full details. Kuhusu idea, nk..

Adam Moshi Jr.

Yes Mr, nipe hizo Details tufanye kitu
 
Shukrani sana Mkuu
Nakuomba uNitumie email uniambie kuhusu wewe
Unafanya nini sasa?
Unaishi wapi?
Ua Malengo gani ya maisha?
Kazi uliyofanya awali ?
Any Hobbies?

Tuma kwenye: Kabandame@gmail.com
 
alafu mbona umetuma matangazo mawili yenye mlengo sawa lkn yapo tofauti?mkuuu kumbuka watanzania wengi tupo macho na matapeli wa ajira ...sasa ni vizuri uklatoa taarifa zako watu tukufahamu......issue sio norway....issue ni mtu sahihi....please toa taarifa zako za kina watu tukufahamu ....................
coz kule ktk tangazo la kwanza ulisema wazungu wanataka waanzishe hyo issue na sasa unaseam ww ndio mwenye huo mpango......bro kuwa makini na taarifa .....ila tupe details tushirikiane.
 
Jamaa anatumia gia NORWAY kama KICHAKA cha kuwapata vijana hasa hasa WADADA maana ameshachunguza kuwa MARKETING inasomwa na wadada wengi so anataka kuwapata kiulaini we Mr. Adam acha hizo mbona ujanja wa zamani sana unautumia?
 
mkuu embu nipatie iyo fursaa na mi
 
Jamaa anatumia gia NORWAY kama KICHAKA cha kuwapata vijana hasa hasa WADADA maana ameshachunguza kuwa MARKETING inasomwa na wadada wengi so anataka kuwapata kiulaini we Mr. Adam acha hizo mbona ujanja wa zamani sana unautumia?

A wise man will often ask but, a fool will always try to predict while he could just ask for the info.
 
alafu mbona umetuma matangazo mawili yenye mlengo sawa lkn yapo tofauti?mkuuu kumbuka watanzania wengi tupo macho na matapeli wa ajira ...sasa ni vizuri uklatoa taarifa zako watu tukufahamu......issue sio norway....issue ni mtu sahihi....please toa taarifa zako za kina watu tukufahamu ....................
coz kule ktk tangazo la kwanza ulisema wazungu wanataka waanzishe hyo issue na sasa unaseam ww ndio mwenye huo mpango......bro kuwa makini na taarifa .....ila tupe details tushirikiane.

Wewe ndo mtafutaji wa kazi, inabidi uwe mdadisi, soma description first! Ielewe the you can take a contact. Please acha masihara. Kama lengo lako kutumia internett ni kukejeli watu, then tafuta watu wengine wa kuwakejeli. I aint got time for that!!! Peace
 
Badala ujibu postive posts unalalamika na hao watu au wanaongea kweli nn...? Hii ndo jamii forum bana weka fursa tusonge ukileta ujanja ujanja unapotezwa na critical thinker
 
Naitwa Adam Moshi Jr, ni mwanachuo Mtanzania nasomea "International marketing" kwenye chuo cha "Norwegian School of Business BI" nchini Norway. Kwa miaka kadhaa niliyoishi nchini Norway, nimepata fursa ya kufanya kazi na multi-national companies ambazo wanatamani kuanza their business venture in Tanzania. But lack of knowledge of Tanzanian market seems to be a barrier for many. That's a problem I want to solve.

Idea ni kuanzisha a "counsulting firm" ambayo italenga vitu vifuatavyo.
- kutoa ushauri kwa kampuni za nje ambazo zinaplan kuwekeza Tanzania.
- Kutoa ushauri kwa kampuni za Kitanzania ambazo zinaplan on their exporting venture.
- Sehemu ya kuwakutanisha wajasiriamali na investors.

Yes, It's a demanding job. Hivyo basi, nitahitaji team ya vijana kadhaa wenye "njaa ya mafanikio"

Vigezo vya muombaji;
- Awe na unauwezo wa kufanya kazi in groups na bila ya usimamizi.
- Awe na elimu ya Tanzania, Demographic, geographic nk. (Elimu ya mitaa)
- Awe na elimu ya shule. A-level, Diploma, Bachelor, Masters au PhD
- Awe na miaka 20-37

Kama hauna vigezo vilivyotajwa juu,
tuma email kwenye:
kabandame@gmail.com
ya kunielezea wewe ni nani, unafanya nini na why I should hire you!

Watakao chaguliwa watafaidika na vitu vifuatavyo;
- kazi yenye kipato kizuri
- Watapata mafunzo kuwa the best consultant in international arena.
- Kufanya kazi kwenye mazingira mazuri.

Kwa maelezo zaidi;
Email: kabandame@gmail.com
Facebook: Adam Moshi Jr

qwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Tabia yako ya kujibu tu namna hiyo inaonyesha jinsi gani ulivyo na vitabia vya ajabu ajabu, ungekuwa na hekima yakufanya consultant sidhani tungepata majibu ya kashfa kama unavyoonyesha. Yaani mimi tiyari mashaka nishaweka juu yako hata kukukaribia naoga kabisa. Endelea na wengine
 
Uzuri wa JF watu wapo open ukitaka kutoa fursa kuww open hiyo ndo siri kubwa ya humu. Kwan kuna watu wanatoa fursa nyeti hata yako unayotaka kuitoa ki usiri unaweza ona cha mtoto. Mwaga tu kiongozi humu full uzalendo.
 
Jamaa anatumia gia NORWAY kama KICHAKA cha kuwapata vijana hasa hasa WADADA maana ameshachunguza kuwa MARKETING inasomwa na wadada wengi so anataka kuwapata kiulaini we Mr. Adam acha hizo mbona ujanja wa zamani sana unautumia?

wabongo always huwa mnawaza negative all the time why????///
 
wabongo bana,fursa zikikosekana wanalalamika,chache zinazopatikana wanahisi wanatapeliwa kiasi cha kuja juu,What if ni kweli sasa?
 
Tabia yako ya kujibu tu namna hiyo inaonyesha jinsi gani ulivyo na vitabia vya ajabu ajabu, ungekuwa na hekima yakufanya consultant sidhani tungepata majibu ya kashfa kama unavyoonyesha. Yaani mimi tiyari mashaka nishaweka juu yako hata kukukaribia naoga kabisa. Endelea na wengine

Ok, God bless you brother.
 
wabongo bana,fursa zikikosekana wanalalamika,chache zinazopatikana wanahisi wanatapeliwa kiasi cha kuja juu,What if ni kweli sasa?

Send me an email if you are interested na motivated kuwa innovative. Amen
 
brother mi nakutafuta mda si mrefu nimekuwa na maono hayo mda mrefu na nilishajaribu kutafuta foreign investors via social media marketing..I hope we can do it...

nakutumia details zangu mda si mrefu.

ahsante.
 
Back
Top Bottom