Adam Moshi Jr
Member
- Jan 23, 2015
- 14
- 3
Yes we can
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naitwa Adam, ni marketing student at Norwegian School Of Business BI.
Nina idea ya biashara, ninahitaji team ya watu kadhaa.
Mlengwa ni.
Kijana wa kitanzania wenye ari ya ujasiriamali.
mwanafunzi wa marketing au mfanya kazi wa marketing.
Ujue Kiswahili fasaha na ujiweze kwenye kiengereza.
- kama unavigezo, Nijulishe ili nikupe full details. Kuhusu idea, nk..
Adam Moshi Jr.
Jamaa anatumia gia NORWAY kama KICHAKA cha kuwapata vijana hasa hasa WADADA maana ameshachunguza kuwa MARKETING inasomwa na wadada wengi so anataka kuwapata kiulaini we Mr. Adam acha hizo mbona ujanja wa zamani sana unautumia?
alafu mbona umetuma matangazo mawili yenye mlengo sawa lkn yapo tofauti?mkuuu kumbuka watanzania wengi tupo macho na matapeli wa ajira ...sasa ni vizuri uklatoa taarifa zako watu tukufahamu......issue sio norway....issue ni mtu sahihi....please toa taarifa zako za kina watu tukufahamu ....................
coz kule ktk tangazo la kwanza ulisema wazungu wanataka waanzishe hyo issue na sasa unaseam ww ndio mwenye huo mpango......bro kuwa makini na taarifa .....ila tupe details tushirikiane.
Naitwa Adam Moshi Jr, ni mwanachuo Mtanzania nasomea "International marketing" kwenye chuo cha "Norwegian School of Business BI" nchini Norway. Kwa miaka kadhaa niliyoishi nchini Norway, nimepata fursa ya kufanya kazi na multi-national companies ambazo wanatamani kuanza their business venture in Tanzania. But lack of knowledge of Tanzanian market seems to be a barrier for many. That's a problem I want to solve.
Idea ni kuanzisha a "counsulting firm" ambayo italenga vitu vifuatavyo.
- kutoa ushauri kwa kampuni za nje ambazo zinaplan kuwekeza Tanzania.
- Kutoa ushauri kwa kampuni za Kitanzania ambazo zinaplan on their exporting venture.
- Sehemu ya kuwakutanisha wajasiriamali na investors.
Yes, It's a demanding job. Hivyo basi, nitahitaji team ya vijana kadhaa wenye "njaa ya mafanikio"
Vigezo vya muombaji;
- Awe na unauwezo wa kufanya kazi in groups na bila ya usimamizi.
- Awe na elimu ya Tanzania, Demographic, geographic nk. (Elimu ya mitaa)
- Awe na elimu ya shule. A-level, Diploma, Bachelor, Masters au PhD
- Awe na miaka 20-37
Kama hauna vigezo vilivyotajwa juu,
tuma email kwenye: kabandame@gmail.com
ya kunielezea wewe ni nani, unafanya nini na why I should hire you!
Watakao chaguliwa watafaidika na vitu vifuatavyo;
- kazi yenye kipato kizuri
- Watapata mafunzo kuwa the best consultant in international arena.
- Kufanya kazi kwenye mazingira mazuri.
Kwa maelezo zaidi;
Email: kabandame@gmail.com
Facebook: Adam Moshi Jr
Badala ujibu postive posts unalalamika na hao watu au wanaongea kweli nn...? Hii ndo jamii forum bana weka fursa tusonge ukileta ujanja ujanja unapotezwa na critical thinker
Jamaa anatumia gia NORWAY kama KICHAKA cha kuwapata vijana hasa hasa WADADA maana ameshachunguza kuwa MARKETING inasomwa na wadada wengi so anataka kuwapata kiulaini we Mr. Adam acha hizo mbona ujanja wa zamani sana unautumia?
Tabia yako ya kujibu tu namna hiyo inaonyesha jinsi gani ulivyo na vitabia vya ajabu ajabu, ungekuwa na hekima yakufanya consultant sidhani tungepata majibu ya kashfa kama unavyoonyesha. Yaani mimi tiyari mashaka nishaweka juu yako hata kukukaribia naoga kabisa. Endelea na wengine
wabongo bana,fursa zikikosekana wanalalamika,chache zinazopatikana wanahisi wanatapeliwa kiasi cha kuja juu,What if ni kweli sasa?