Adam Moshi Jr
Member
- Jan 23, 2015
- 14
- 3
Naitwa Adam Moshi Jr, ni mwanachuo Mtanzania nasomea "International marketing" kwenye chuo cha "Norwegian School of Business BI" nchini Norway. Kwa miaka kadhaa niliyoishi nchini Norway, nimepata fursa ya kufanya kazi na multi-national companies ambazo wanatamani kuanza their business venture in Tanzania. But lack of knowledge of Tanzanian market seems to be a barrier for many. That's a problem I want to solve.
Idea ni kuanzisha a "counsulting firm" ambayo italenga vitu vifuatavyo.
- kutoa ushauri kwa kampuni za nje ambazo zinaplan kuwekeza Tanzania.
- Kutoa ushauri kwa kampuni za Kitanzania ambazo zinaplan on their exporting venture.
- Sehemu ya kuwakutanisha wajasiriamali na investors.
Yes, It's a demanding job. Hivyo basi, nitahitaji team ya vijana kadhaa wenye "njaa ya mafanikio"
Vigezo vya muombaji.
- Awe na unauwezo wa kufanya kazi in groups na bila ya usimamizi.
- Awe na elimu ya Tanzania, Demographic, geographic nk. (Elimu ya mitaa)
- Awe na elimu ya shule. A-level, Diploma, Bachelor, Masters au PhD
- Awe na miaka 20-37
Kama hauna vigezo vilivyotajwa juu,
tuma email kwenye: kabandame@gmail.com
ya kunielezea wewe ni nani, unafanya nini na why I should hire you!
Watakao chaguliwa watafaidika na vitu vifuatavyo
- kazi yenye kipato kizuri
- Watapata mafunzo kuwa the best consultant in international arena.
- Kufanya kazi kwenye mazingira mazuri.
Kwa maelezo zaidi..
Email: kabandame@gmail.com
Facebook: Adam Moshi Jr