Naifahamu vizuri familia ya mzee Vernon Winfrey ambaye ni babake mzazi na Oprah Winfrey na ndugu zake. Habari hizo ni uzushi mtupu. Maaduni wake wanahaha usiku na mchana kumchafua kwa kila hali. Juzi nilipoenda kunyoa nywele kwenye barbarshop ya babake tulikuwa tunaongelea hayo na baba kabaki kunieleza kwamba hayo tumesha yazoea tunamwachia Mungu.