Oprah Winfrey ni msagaji?

Oprah Winfrey ni msagaji?

Marekani siku hizi watu wengi walio maarufu huandamwa na hizi tuhuma. Na hii ya oprah na gayle ni ya zamani mno. Kwa hiyo hakuna jipya hapo kwa kweli wengine haituhusu oprah analala na nani kama vile ambavyo haiwahusu mimi nalala na nani.
Ahahahaaaaaaah!!!!!!!
 
Naifahamu vizuri familia ya mzee Vernon Winfrey ambaye ni babake mzazi na Oprah Winfrey na ndugu zake. Habari hizo ni uzushi mtupu. Maaduni wake wanahaha usiku na mchana kumchafua kwa kila hali. Juzi nilipoenda kunyoa nywele kwenye barbarshop ya babake tulikuwa tunaongelea hayo na baba kabaki kunieleza kwamba hayo tumesha yazoea tunamwachia Mungu.
 
People have freedom to speek and it is difficult to control them. Mama ana pesa ya kufa mtu na mara nyingi wenye pesa lazima wazushiwe mambo. Si busara kuchangia kama huna facts juu ya hawa watu.
 
Back
Top Bottom