Oprah winifrey atua Bongo

Oprah winifrey atua Bongo

lokomu

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
4,916
Reaction score
3,507
Inaelekea President Obama kaacha upepo mzuri Tanzania manake taarifa zilizotufikia muda mfupi uliopita baada tu ya bondia Evander
kuthibitishwa na yeye kuja Tanzania, mtangazaji staa wa dunia Oprah Winfrey nae anatarajiwa kufika Tanzania.

Staa huyu ambae amewahi kufanya interview na mastaa wengine kama marapper Jay Z na 50 Cent, unaambiwa usitegemee kumuona Dar es salaam au sehemu nyingine maarufu za town, anatua Serengeti kesho July 13 2013 kwa ajili ya mapumziko tu na kuondokea hukohuko.
 
Karibu mazaa. Ila usikutane na madem zetu.
 
Karibu sana.....Serengeti kama kawa.......Grumeti Reserves au Four Seasons?
 
Interesting kuona world Five Star Figures wanaendelea kudondoka ndani ya TZ, mambo mdogo mdogo kesho na kesho kutwa Hollywood Stars tutawaona wanakuja kufanya filamu!
 
Shamba la bibi hutembelewa na kila aina ya viumbe,Bongo ni shamba la bibi
 
South Africa alijenga na anagharamia uendeshaji wa shule ya wasichana, huku anakuja kuangalia maajabu ya utajiri wa nchi ambayo rais wake ni ombaomba hadi hajui nani alishamuomba!
 
South Africa alijenga na anagharamia uendeshaji wa shule ya wasichana, huku anakuja kuangalia maajabu ya utajiri wa nchi ambayo rais wake ni ombaomba hadi hajui nani alishamuomba!
LOL!.....nani kama JF??!.......If you're the real Great thinker please stand up!
 
Naanza kuona dalili ya waafrika ughaibuni kutafuta asili yao walikotoka.
Karibu nyumbani Oprah
 
Back
Top Bottom