Maana ya G.O.A.T tafadhali?
Shukrani,nitoa ushamba.Kiswahili ni mchezaji au mwanamichezo wa muda wote(Greatest Off All Time)pia inategemea kwenye kitu anachokifanya huenda akawa msanii au mwanasiasa N.K
BeberuMaana ya G.O.A.T tafadhali?
Kondoo wakiume!!!!Beberu
Ok!Kondoo wakiume!!!!