Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Optajoe jamaa wa takwimu wameshaachia takwimu zao kwa miaka 10 (2010-2019) guesswhat Lionell Messi kafunga zaidi, katoa assist zaidi, katake-on zaidi na katoa accurate end passes zaidi lakini kuna nyumbu zitakuja sema si lolote mbele ya cristina!.
Kile kiumbe si dunia hii!.. Sikisahau toka siku kilipotuadhibu Arsenal!..
Kile kiumbe si dunia hii!.. Sikisahau toka siku kilipotuadhibu Arsenal!..