Option to follow JF member

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Hii option kiukweli natamani ingekua inafanya kazi yake. Ili nikimfollow member humu niweze kupata notification kwa anacho andika.

Kiukweli kuna member wanaandika vitu fact kabisa tena sana, Hasa wengine unabahatika kusoma nyuzi zao unaona kabisa huyu kichwa chake na changu si mule mule kabisa.

Hili swala mnalizungumziaje wadau...

Surya
 
Mbona mkuu inafanya kazi au? Kwa ninaowafollow wakitupia tu naona!
Naona inaleta started thread pekee sindio.. au na reply zote.
 
Naona inaleta started thread pekee sindio.. au na reply zote.
Chief kwangu hata mtu akichangia kwenye mada pia inaleta. Samahani mkuu, unatumia browser au app?
 
Asante kwa taarifa na ushauri tutafanyia kazi maoni yako mkuu.

Endelea kutumua Jamiiforums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…