Option to follow JF member

Option to follow JF member

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Hii option kiukweli natamani ingekua inafanya kazi yake. Ili nikimfollow member humu niweze kupata notification kwa anacho andika.

Kiukweli kuna member wanaandika vitu fact kabisa tena sana, Hasa wengine unabahatika kusoma nyuzi zao unaona kabisa huyu kichwa chake na changu si mule mule kabisa.

Hili swala mnalizungumziaje wadau...

Surya
 
Nitaka nikufollow ww lkn sion hyo option
B687382C-6D5E-4D05-A3CA-2C0634D80B69.jpeg
 
Asante kwa taarifa na ushauri tutafanyia kazi maoni yako mkuu.

Endelea kutumua Jamiiforums.
 
Back
Top Bottom