OR- UTUMISHI, kuna uwezekano mkubwa sana wa vijana wengi kuugua afya ya akili hasa wale wanaosubiri matokeo ya ajira na hii inasababishwa na ukimya wa muda mrefu unaofanywa na OR- UTUMISHI kwa kukaa kimya bila kutoa mrejesho kwa wasailiwa hasa kada ya ualimu mfano mzuri.
AJIRA ZILIKUA 14,000+ zilitangazwa toka mwaka jana mwezi wa saba 2024 lakini usaili ulianza mwezi januari-Febr2025 na kukamilika sasa tatizo limebaki wao hawataki kutoa majina ya watu wote walifaulu mtihani na kupangiwa vituo, wamekua wakiwaweka watu roho juu juu kwa kutoa majina machache na kukaa kimya muda mrefu.
Tutazame kidogo kwa mara ya mwisho walimu walioitwa kazini ni PDF iliyotoka 02/04/2025 hivyo vijana wamekua wakisubiri kila siku lakini OR hawatoi mrejesho kama wameishia pale pale au watatendelea .
USHAURI WANGU.
1. Kama wanavyofanyaga katika usaili huwa wanaweka ratiba na venue basi na utoaji wa majina waweke ratiba na interval ikibidi waseme hapa ndio mwisho ili wanaobaki kwenye kanzidata wajitambue maana hili suala la ukimya unafanya vijana kila siku wawaze hatma yao.