- Thread starter
- #41
Hongera sana sana mkuu...MUNGU NI MWEMA NIMEPATA KAZI 🙌
Kwanza kwa kuwa na moyo wa kushare taarifa za msingi
Pili kwa Mungu kukupa kibali kwenye nafasi hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana sana mkuu...MUNGU NI MWEMA NIMEPATA KAZI 🙌
mkuu tukianza na written vipi ilibase kwenye masomo ya chuo au kwenye majukumu yako au Olevel/A-level?MUNGU NI MWEMA NIMEPATA KAZI 🙌
Hongeraa zanaaMUNGU NI MWEMA NIMEPATA KAZI 🙌
Ubarikiwe sana sana mkuu.... Mungu akutangulie kwenye safari ya majukumu na maisha kwa ujumla.Mimi nilitoa tu maelekezo kwa kujiamini afu sikuacha hata swali moja yote nilijibu neno kwamba hujui usutamke kabsa we jitahidi ujibu