Oral sex can cause throat cancer

Oral sex can cause throat cancer

Everything in this absurd, crazy world has hazardous side, even eating ugali have sady side of it. So Pearl and others endeleeeni kula ndizi kwani ni muhimu kwa maisha yenu. It is more healthier, important to you than abating it
 
kama mnataka wanaume waandamane acheni... nimesoma tena lakini nilivyoelewa ni wanaume ndio watapata kansa ya koo!
 
Mmm hii kubwa. hebu niache mie, nifanye yale aloagiza Mungu.
 
kama mnataka wanaume waandamane acheni... nimesoma tena lakini nilivyoelewa ni wanaume ndio watapata kansa ya koo!

MWANAKIJIJI....yu are right ..kama virus wanaosababisha cervical cancer ..wanaingia midomoni basi...wakuogopa si wanawake bali sisi mateja ya chumvi chumvi ndio tupo sucseptible zaidi kupata kansa ya koo......

wanawake kama ni hizo koni wanauwezo wa kuifuta na anti bacterial agent ...kabla ya kuanza...kama kuna mmeshapita kwa wale kina dada wa kibrazil mtanielewa wana hadi special sprays ..za kusafisha...infact oral is sweatie than sex sometimes ukipata wanaoijuwa....sasaukivalisha ...bora tu usifanye...

lakini solution ni kupima kabla ya kuingia kwenye mahusiano ..ili muweze ku enjoy nature ipasavyo.....hata mipango ya pembeni ni lazima kupima....ukipima na mkeo au mpenzi wako ..na mkijaliwa kuwa salama ...unapata ulinzi wa kutosha ....kwani kwa hali ya siku hizi mtu akikutwa salama huapa kwa miungu yake yote kuto risk tena maisha yake!!
 
mbona iko clear?au ushapata kinywaji nini ndo mana unajihisi njia panda?
kaizer umemuona wapi,kila nikimtafuta simuoni najihisi napata homa!

daktari wako nipo mama...kama presha au home vyote vinapungua...utaalamu wak kuoperate bila kuwa na vidonda pia upo so usijali, nimerudi sasa
 
daktari wako nipo mama...kama presha au home vyote vinapungua...utaalamu wak kuoperate bila kuwa na vidonda pia upo so usijali, nimerudi sasa
homa imekwisha baada ya kuona kuwa u mzima daktari wangu.
pia signature yako mpya imeuondoa kabisa uchovu wote wa homa nilikokuwa nao.safi sana mkuu.lol
 
Hayo Machumvi yenu hayo! Haya ngojeni!
 
Back
Top Bottom