orange growers/mangoes association

orange growers/mangoes association

Lyangalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2009
Posts
679
Reaction score
234
Wajasiliamali wenzangu naomba kujulishwa kama kuna association ya mazao hayo tajwa. Halafu kama kuna mtu mwenye uelewa wa masoko ya nje. Procedure gani za kufuata kuyapata.
 
Mkuu Arusha ipo nazani ndo makao makuu inaitwa TAHA,Tanzania Hortculture Asociation .google utapata, Ila kwa kifupi Ku export matunda nje hasa Ulaya si ishu ya kitoto, kuna kazi kubwa sana, na ni process moja yenye mlolongo wa kufa mtu
 
Wajasiliamali wenzangu naomba kujulishwa kama kuna association ya mazao hayo tajwa. Halafu kama kuna mtu mwenye uelewa wa masoko ya nje. Procedure gani za kufuata kuyapata.

Association of Mango Growers (AMAGRO) wana website yao na pia office zao zipo ubungo, wasiliana nao pia wanamaelezo mengi kwenye website ingawa form zao inabidi uende ubungo kuchukua
 
Back
Top Bottom