M MahinaVeterani JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 710 Reaction score 256 Sep 13, 2013 #41 Mambaenock said: Habari zenu wasomi. ningependa kujua umuhimu wa orientation weeks zinazofanyika vyuo vikuu kabla ya kuanza masomo kwa ujumla na je mtu asipohudhuria atakuwa amekosa vitu gani vya muhimu.!? nawasilisha. Click to expand... Sio ya lazima, haina umuhimu. In fact, hata semester nzima ya kwanza sio muhimu - we endelea kulala hadi semester ya pili!
Mambaenock said: Habari zenu wasomi. ningependa kujua umuhimu wa orientation weeks zinazofanyika vyuo vikuu kabla ya kuanza masomo kwa ujumla na je mtu asipohudhuria atakuwa amekosa vitu gani vya muhimu.!? nawasilisha. Click to expand... Sio ya lazima, haina umuhimu. In fact, hata semester nzima ya kwanza sio muhimu - we endelea kulala hadi semester ya pili!