Orientation week ni ya lazima au.!?

Orientation week ni ya lazima au.!?

Habari zenu wasomi.
ningependa kujua umuhimu wa orientation weeks zinazofanyika vyuo vikuu kabla ya kuanza masomo kwa ujumla na je mtu asipohudhuria atakuwa amekosa vitu gani vya muhimu.!?
nawasilisha.

Sio ya lazima, haina umuhimu. In fact, hata semester nzima ya kwanza sio muhimu - we endelea kulala hadi semester ya pili!
 
Back
Top Bottom