Origi and Wanyama put Kenya on Champions League map

mkuu kusema ukweli tukiacha mahaba ya nchi, orig kaifungia liva magoli machache yenye thamani kubwa! ucl dhidi ya barca amefunga goli mbili peke yake akiivusha club fainali. kwenye epl game dhidi ya newcastle amefunga goli la ushindi dk za lala salama!
This band inajaribu though they are just kids. Kuna some awesome guitar solo ata around minute 4:11
 
sasa kama siyo mkenya ya jirani yanakuhusu nini mkuu? hiyo si chuki ya kikabila unajaribu kuipenyeza?
Utakua hauwajui Wakenya hawanihitaji mimi kuandika hivyo kuwa wakabila
 
Kanyeki is amazing, but Irony Destroyed ziii, those guys kinda sucks. Lakini Kenyan rock inajaribu,
It's sad XFm ilifungwa the only place you'd hear these local bands play and realize that Kenya is breeding rock stars.For example Rish would be mistaken for a Taylor Swift, she gifted vocally!
 
Huu ukabila hapa mkuu [emoji23][emoji23] Wanyama ametokea jamii ya Waluhya.
Si kweli wao pekee ndio wameipeperusha bendera hii yetu.
Unamfahamu Henry Wanyoike? (mwanariadha kipofu) aliyeishindia Kenya tuzo si haba.
Catherine Ndereba? Paul Tergat?
Peter Tabichi? (Mwalimu bora zaidi duniani)
Hawa wote nimekutajia sio waluo
Kati ya hao hamna mwenye Umaarufu kama wa Obama na Lupita hata mmoja
 
It's sad XFm ilifungwa the only place you'd hear these local bands play and realize that Kenya is breeding rock stars.For example Rish would be mistaken for a Taylor Swift, she gifted vocally!
Yeah. Na Capiroo fm dont promote local bands. Hope a new rock station pops up
 
This band inajaribu though they are just kids. Kuna some awesome guitar solo ata around minute 4:11

I once saw them doing an interview on Y254, they're talented! Wako na vibe ya Nirvana
 
Kati ya hao hamna mwenye Umaarufu kama wa Obama na Lupita hata mmoja
wewe ndio huwajui! Blame your ignorance. Lakini ndio maana ya kuwa JF, utasoma na kujifunza mawili au matatu.
Sasa kwanzia leo tafuta vitabu vyao usiseme siku nyingine huwajui Wanyoike, Ndereba, Kariuki na Wanjiru
 
Ni hivi hilo halina ubishi hakuna kati yao anawazidi umaarufu Obama na Lupita hata kama haujasoma,hata upitishe kurabya maoni Dunia nzima hao akina Ndereba hawawezi kuwa maarufu kuliko huyo Omela na Bint Anyang;Hata ukiwataja Wakenya 10 maarufu EA hao watu wako hawawezi kuwemo
 
usimsahau eliud kipchoge
 
Hao ni wa kuokoteza, Samuel Wanjiru hatujui babake ni kabila gani. Huenda ni Kip...
Edy Gathegi Hollywood Star 😉😉 na Kama unakumbuka Safari Rally, Kuna mwingine can you guess His name... you've guessed right, Patrick Njiru the most successful indigenous Kenyan Rally Driver of all Time. 😁😁
 
bila kumsahau Nobel peace prize laureate Wangari Maathai
 
Back
Top Bottom