Original comedy, kwanini lakini?

Original comedy, kwanini lakini?

HOPECOMFORT

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
3,921
Reaction score
6,646
Ni muda sasa umepita toka 2pate taarifa kutoka vyanzo tofauiti vya habari isipokua nyie kua mwenzenu ni mgonjwa(JOSEPH SHAMBA). Kupitia picha zilizowekwa hapa kweli mwenze2 uyo alioneonekana kua na hali mbaya sana.

Swali langu kwenu:Ni kweli kwamba amyaoni maswali yanayo ulizwa hapa kila kukicha kumuusu uyu mwenzetu angalau basi mtupatie taarifa za ukweli? Kama jana tena kuna alie ibuka na taarifa za kushtua eti kaaga dunia!!

Vengu we love u so so much and we ar always praying for ur recovering. Sitaki na sipendezwi na kusema ugua pole bt i will say GET WELL SOON.
 
watu wengine bana..kutwa kuchunguza maisha ya watu.ushaambiwa anaumwa.full stop!!akipona utamuona stejini
 
watu wengine bana..kutwa kuchunguza maisha ya watu.ushaambiwa anaumwa.full stop!!akipona utamuona stejini
Ningekubali kama kweli nachunguza bt sikuulizia maisha yake binafsi cse hayatanisaidia.argument yangu ni pale mtu mpaka anazushiwa kifo alafu kuna wakukanusha na bado hawakanushi.Stl mm kama shabiki wake naitaji kumuona

Kama ww umeona majungu ungepaswa kupiga kimya na kupita
 
unaona kweli kwenye hilo kundi kama kuna mtu
wa kuweza kukujibu unachokitaka.
 
acha kukurupuka ndugu yangu masanja amekanusha kupitia wall yake ya fb nenda uone chunguza mambo kwanza kabla ya kukurupuka
 
Ze original comedy a.k.a watoto wa Manji.Kumkashifu Mzee Mengi wameweza ila kumpeleka mwenzao India akapate matibabu wameshindwa. Haya ndio madhara ya utegemezi.
 
Back
Top Bottom