Original ya muda (masaa)

mwingira17

Member
Joined
May 22, 2014
Posts
16
Reaction score
3
Naomba kujua watu walioanzisha muda (masaa) duniani, na ilikuwaje wakaset masaa. Mfano: Tanzania ikiwa saa 1 basi South Africa iwe saa 2 na kwanini isiwe nchi zote zina muda mmoja sawa? Wenye uelewa hapa nisaidieni.
 
By any chance,do u know anything about latitude and longtude?? Or about earth spinning on its own axis??

Tuanzie na hapo kwanza mkuu.
 
Naomba kujua watu walioanzisha muda (masaa) duniani, na ilikuwaje wakaset masaa. Mfano: Tanzania ikiwa saa 1 basi South Africa iwe saa 2 na kwanini isiwe nchi zote zina muda mmoja sawa? Wenye uelewa hapa nisaidieni.

fuatilia kuhusu mzunguko wa dunia kwenye muhimili wake na mistari ya longitude na latitude hapo utajua zaid
 
Kuna mengi ya kuongea hapa, ila nionge kwa ufupi ni kuwa, machweo na mawio hutofautiana kutegemea na ukanda wa eneo. Sasa huwezi sema Tanzania jua kali sana kuwe saa sita mchana, halafua Marekani jua limezama then nao waseme ni mchana.
 
Asili ya calendar na masaa inaanzia mbali sana, lakini calendar tunayotumia sasa inaitwa Gregorian...ilianzisha na Papa Gregory miaka mingi iliyopita baada ya Kristo...(AD)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…