mwingira17
Member
- May 22, 2014
- 16
- 3
Naomba kujua watu walioanzisha muda (masaa) duniani, na ilikuwaje wakaset masaa. Mfano: Tanzania ikiwa saa 1 basi South Africa iwe saa 2 na kwanini isiwe nchi zote zina muda mmoja sawa? Wenye uelewa hapa nisaidieni.