mkuu unaweza kutuwekea tuone maana nimekikosaWakuu kwa wanaopenda ze commedy mtakubaliana nami jana Manji alionekana na Mpoki ndani ya Commedy. Mpoki alikuwa anamwezesha Manji pesa ili aisaidie club ya Yanga.
mkuu unaweza kutuwekea tuone maana nimekikosa
jamaani kwani Manji kuwe po pale kuna ubaya gani ? amekwenda kwenye Tv show tu kwani huko Ulaya na marekani tunako iga sisi hamna watu mashuhuri kama kina manji ? jamaani tuache mambo yetu hayo ya kuona kila kitu chetu kibaya tubadilike na tuungane mokono.😱
Nimegundua hapa watu wengi saaaaaaaaana wanawachukia Ze Komedi...sasa sitapata tabu tena..watu wengi ni wanafiki humu, jana nilifanikiwa kuangalia both Ze Komedi na hao Futuhi, ila to be honest Futuhi baaaaaaaado saaaaaaana tena saaaana tu kufikia level za Ze Komedi, labda muendelee kuwapigia debe hivo hivo ndio wataweza kujaribu kuwafikia akina Masanja japo kidoogo....ni hayo tu.
Upumbavu at its best!
Yule Manji nia yake ilikuwa ni kuonyesha ofisi yake ilivyo ya kisasa, na kwamba ndiye anayewalea Ze Comedi na TBC kwa ujumla!
I just call it a "damn shit business" na najuta kupoteza muda wangu kuangalia ile maji taka.
God Forbid!!
we futuhi wakali sana, niliwaangalia jana wana mada zinazofundisha, Manji nae asipoangalia anafulia muda sio mrefu haiwezekani mtu kama yule awe anaigiza igiza na watoto
Upumbavu at its best!
Yule Manji nia yake ilikuwa ni kuonyesha ofisi yake ilivyo ya kisasa, na kwamba ndiye anayewalea Ze Comedi na TBC kwa ujumla!
I just call it a "damn shit business" na najuta kupoteza muda wangu kuangalia ile maji taka.
God Forbid!!
Upumbavu at its best!
Yule Manji nia yake ilikuwa ni kuonyesha ofisi yake ilivyo ya kisasa, na kwamba ndiye anayewalea Ze Comedi na TBC kwa ujumla!
I just call it a "damn shit business" na najuta kupoteza muda wangu kuangalia ile maji taka.
God Forbid!!
Siyo ITV mkuu ni EATV ndio iliyowaweka hadharani. by the way jamaa hivi sasa wamechoka, bora wakapumzika wajipange upya. Hao Futuhi hakuna kitu wanachokifanya, nao ni sawa tu na hao wenzao orijino komedi.Manji anaendeleza maudhi yake kwa Mzee Mengi tu. Wahindi wanapenda sana sifa. Akina Masanja itumieni hiyo nafasi vizuri. Hamtakuwa kama mlivyokuwa ITV. Kumbukeni tu kuwa ITV ndiyo ilyowaweka hadharani.
Siyo ITV mkuu ni EATV ndio iliyowaweka hadharani. by the way jamaa hivi sasa wamechoka,.
Kwakweli vijana kwa sasa wapo juu mnao wabeza naona mnalo lenu jambo walipo kuwa EATV walishindwa hata kununua bike au tuktuk ya mchina lakini leo TBC1 jamaa wana drive kabisa.
Mnatumia kigezo kipi kupima kama vijana wamepungua au wameongezeka kiwango?
Mbona watu tunacheka mpaka mbavu hatuna? Kikubwa hawarudi vichekesho na ndo ubunifu tunao utaka.
Inavyoonekana nikweli watu wanachuki tu na hawa ZE COMEDY,sio siri wale jamaa wa FUTUHI hawana vipaji vya uchekeshaji ni kama wamevamia sehemu isiyo wahusu naona jamaa wanalazimisha kwelikweli lkn viwango vyao ni vya chini sana,kule ZE COMEDY wale jamaa wote wana vipaji tena hata ukiwa unawaangalia huwezi kuona kuwa wanalazimisha ila kazi ile ya uchekeshaji ipo kwenye damu zao huwezi ukawalinganisha na FUTUHI kwachochote tena wale FUTUHI wanajaribu kuwaiga jamaa lakini wapi! ZE COMEDY wapo juu sana tuache chuki!