Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Wewe kijana vipi?? Majuto yupi huyu.. Maana lazima wafanya mambo ya kweli hawa jamaa. Wemefulia ile mbaya sanaMAJUTO ARUDI TU LUNINGANI, ha ha haaaaaaaaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kijana vipi?? Majuto yupi huyu.. Maana lazima wafanya mambo ya kweli hawa jamaa. Wemefulia ile mbaya sanaMAJUTO ARUDI TU LUNINGANI, ha ha haaaaaaaaaaa.
Kwa kweli FUTUHI Star TV kwa sasa wanaelekea kuziba pengo kwa kuwa na Komedia zenye content ya maana na wanatimiza hasa lile lengo la Tamthiliya za vichekesho yaana ucheshi na ujumbe wenye maslahi kwa jamii.
Nimekuwa nikiona Commedy muda mrefu nafikiri kwa sasa wamelowekea na wala siyo kufulia
Bravo Kamanda,
Lakini jambo moja ni dhahiri, hawa vijana sidhani kama yuko mmoja wao ambae amemaliza kidato cha nne akapata hata point 25 (yaani division III)! Kiwango chao cha elimu na haya wanayoyafanya hayana tofauti kabisa na uelewa wao! Kwa wao mafanikio haya is a surprise achievement! Wangekuwa wanasukuma mikokoteni na kuuza maji kama sio Channel 5 kuwatoa, japo wao walilipa machafu na matusi kwa mazuri haya.
Manji ni sumu mbaya saana kwa kila mwenye kuweka maslahi ya Tanzania na Watanzania mbele!
Any body who could reach them out there: tell them sasa wanasababisha kinyaaaaa! Wameoza na wananuka!
hawa wamefulia tena msimu wa el nino, hata pakuanika hakuna! wasipoangalia zitavunda bila kukauka na hazitakuwa na mvuto teeena hata ufanye nini! wasije kuchukulia kuwa kwa kuwa walishapata umaarufu basi wabweteke, kumaintain standard walioyokuwa nayo na hata kuiboresha zaidi kunahitajika kazi ya ziada waamke wafanye kazi, sanaa si lelemama kama wengi wanavyofikiria!Nafikiri sasa wanaanikwa juani wakauke baada ya kufulia.Lakini wakishtuka wanaweza kurudia ubora na viwango tena.
King Majuto namaanisha! Yule mzee anatisha.
Hawa jamaa kweli wamefulia it's true ukinunuliwa na Manji au Rostam lazima ufulie na ndio kama kilicho wakuta Ze.
Werema unajua hapa its all about talent,talent has got nothing to do with education status,kweli hawajamaa wanawezakuwa hawajapata hiyo division three,lakini kupata division three sio kiashiria cha akili,wengi wanazo na ni mambumbumbu wakufa mtu,ukiniambia hawajamaa hawana jipya nakubaliana na wewe,lakini pia napingana nawewe kuwa hawa jamaa wanastahili kuendesha mikokoteni tuu,this is a BLASPHEMY,kila mtu anapata ridhiki kutokana najuhudi na matakwa ya sir God!!Najua we ni muelewa na you've got education but i doubt if ulikuwa educated with that education!!Do not discredit wasukuma mikokoteni,ni watu kama wewe na kazi kama nyingine yoyote ile!!!Bravo Kamanda,