Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

vijembe kila kona
 
Kweli mtenda akitendewa.... Shigongo wewe unae watungika watu kila siku kwenye magazeti yako ya udaku unakuwa na kende za kuwanyooshea wenzio kidole?

Waache vijana wafanye kazi yao na wewe endeleza udaku wako.
 
Last edited:
Aliyosema Eric ni kweli na yana mantiki kubwa. Ze komedi mmeyasoma?
 
Yaaaawwwwnnnn! Yeye ndio wa kwanza kuwa featured in Orijino Komedi?

In any case, and according to this article, Orijino Komedi wapo juu kwa sasa kama alivyokuwa Hitler (what a comparison!), Pele, Rockefeller, ...........maybe Reginald Mengi??

I remember this guy we were in the same secondary school back in the day and one of his popular sayings was the methali "Aliye juu mngoje chini" Shigongo, hawa jamaa wakianguka usije ukajidai eti wewe ulisema kumbe ni historia inajirudia na wahenga walinena!!

Guys, take a chill pill and enjoy the comedy. Mimi simjui huyu Shigongo namsikia tuu sasa swali linakuja: mtu wa kawaida asiyewajua hao watu (Shigongo na mwenzie) wataelewa vipi kama comedy skit inawahusu akina Shigongo na mwenzake????
 
Hawa watoto,Ze Comedy, wamekuwa kama malaya,changudoa. Toka watoe ile comedy yao wiki iliyopita nikawatoa maanani kama watu wanaofikiria kama watanzania.Watu wengi waniambia hivyo na hawajafurahia kutumika kwao, na wataendelea kukosa umaarufu pamoja na TBC yao.
Malaya ni mtu anayetumika kwa mahitaji ya mlipaji kwa kipindi hicho.Baada ya hapo hana maana hata mbele ya jamii
 
ze komedi wana vipaji lakini si mvuto tena! Sijisikii kiu ya kuwaangalia kama ilivyokuwa mwanzo, wala nikikosa kipindi sisikii kuumia.
 
Nachukia mafisadi kwa kiwango kikubwa sana. Hawa vijana walichokifanya ni kununuliwa na kundi la mafisadi ili waache kabisa kutunga vichekesho kuwakandia mafisadi. Watanzania wanaopigania nchi yao iliyotekwa na mafisadi wanatafuta kila aina ya njia kuwaangamiza mafisadi na hawa vijana walikuwa wanapeleka ujumbe kwa mafisadi kwamba watanzania hawapendi kile walichokuwa wanakifanya. Lakini sasa hawa vijana watakuwa hawana ubavu huo tena. Na kwa msingi huo watapoteza wapenzi wengi mimi nikiwa mmoja wao.
 
How is ze comedy relevant to our development? I dont think its a priority. Why do we waste our time with things that are not important?
 
Hawa Orijino Komedi (Ze Komedi) wiki ilopita waliniudhi sana pale walipokuwa wakiigiza Mengi Vs RA! Ni wajinga kikweli, yaani issues serious wao wana-dilute. Ndo yaleyale ya Watanzania kuvishwa nepi!

Kama wanaingia JF basi ushauri wangu ni kuwa waendeleze maigizo lakini kujaribu kupotosha na kuzorotesha masuala muhimu kwa manufaa ya Mfadhli wao Manji waache kabisa.
 
Aisee mi bwana nikiikosa mizengwe huwa najisikia uchungu kiasi flani ila Komedi wala hata sina mpango nayo........

naona kwa sasa hawana lolote zaidi ya kukalia umbea wa kishoga shoga tu...wehu..
 
walishapoteza mwelekeo walipokubali kununuliwa....halafu wanaonesha udhaifu mkubwa maana kila wakati wanamsema mengi as if hawana mengine ya kusema.

alio karibu nao ajaribu kuwashauri kama wanashaurika
 
Kwakweli kitendo cha kuigiza ugonjwa wa mtu kama kitu cha kuchekesha sio kizuri kabisa, na si ubinadamu. nilishindwa kumwelewa Joti alitaka kutuambia nini kuhusu uginjwa wa Banza.
In awabidi kubadilika na kuwacreative badala ya kuigiza matumkio ambayo si ya kufanyia mzaha.
 

wewe ulikuwa unawajua kwa majina yao binafsi
wakati wanaenda ITV hawakuwa chochote na sasa
hivi wameondoka ITV watu wanawajua kwa brand name yao ze comedi
kwa hiyo brand name kujulikana, ITV wametumia mda na pesa na lazima warudishe pesa yao waliyotumia....
mbona hawakukataa wakati wana sign mkataba
mbona hawakwenda kwa manji kabla hawajawa maarufu.....

kitu ambacho hawakijui ni kuwa wametoka katika misingi ya kujitegemea na kuelekea kwenye misingi ya omba omba ya kufadhiliwa...
wakati wanakuwa biased kumchafua mengi na kupata vijisenti kutoka kwa manji, umaarufu wao unashuka na viewings za kipindi chao zinapungua mwishowe wataambiwa watu awatizami kipindi chenu na kutokana na budget ina bidi tu ki axe
wakiwa hawana kipindi manji nae anawakimbia ana move on as usual
watu weusi kwa nini hatujifunzi?

eti ze comedy wanawatengenezea hela nyingi sana ITV, sasa wewe ulitaka ze comedi na ITV wapate hela sawa itawezekana vipi.....
wanachofanya wao ni kuchesha, kuna production staff, bill kibao, bado wao ITV wawatafute wadhamini wa kipindi....

mimi nilizania wanajitegemea na hiyo hela ya TBC kumbe ni mambo ya mfadhili
 
Jamani nimesikitishwa sana na kipichi cha Komedi leo . Mtangazaji Masanja ameamua kuvuka mipaka na kuanza kukashifu kanisa. anaigiza mapadre wanavyosema " nendeni kwa amani' yeye anasema " tazameni kwa amani" ila kwa kutumia tune ya kanisa.
 
watu wameshaanza kampeni ya kuibomoa ORIJINO KOMEDI.....!
AU mmetumwa na NYANGUMI.....?
manake yule pia mwenye magazeti yanayoashiria NGONO mda wote yeye naye ANAKANDIA kwa kujifanya anatoa waraka.....!
...HAYA YETU MACHO.....!
 
Sally Member
Join Date: Mon Feb 2008
Posts: 10
Thanks: 0
Thanked 2 Times in 2 Posts
UMRI MKUBWA ..........HATUA KUMI......HAJUI KUSEMA ASANTE......!
DU........!
 
Origino komedi
Sally
Today, 07:14 PM

Hahaa haa mkuu, yaani zimepita dakika 14 tu tangu kipindi cha comedy kianze tayari ushapost walichoongea, kweli uliwapania!!! Ila nao Ze Comedy wajirekebishe sasa, kwani si kwamba kila wanachoambiwa hakina ukweli!
 
opaque hapo umenena.....! watu wamekuwa kama HAKI ELIMU wao wanaona mabaya tu mazuri a a a...!
 
Hawa jamaa orijino komedi wamezidi sana hasa kukashfu Imani ya ki-kristo,wanaigiza nyimbo za dini huku wakiwa wamevaa kiajabu-ajabu,sijui labda kwa sababu wakristo si watu wakorofi,lakini inasikitisha sana hawa orijino komedi wanapokuwa wanachafua Imani za watu wengine.
Najua labda watasingizia kuwa wanaelimisha jamii,lakini si hivyo wanavyofanya hawa jamaa,kama wakristo wana mapungufu kiasi cha kuwaelimisha kupitia kikundi chao mbona sasa wao hata siku moja hawajajaribu kuwaigiza WA-ISLAMU jaribu na wewe kujiuliza ni kwa nini hawafanyii Waislamu msaha wanaofanyia wakristo???????????
Kikundi hiki si kibaya bali mimi binafsi nawaomba waache kukejeli Imani za watu wengine hasa Wakristo.
 
HAYA SASA!naona kunazidi kucha,maanake USIKU UMEENDELEA SANA,na sasa mchana umekaribia.

Lile kundi 'maarufu kabisa' la vichekesho limeendelea 'kuwashika pabaya' watu fulani fulani kupitia clips mbali mbali za maigizo yao.

Wakirusha kipindi chao hewani alhamisi ya tar 14/05/2009,mmoja wa vijana hao maarufu kabisa 'MPOKI' ambaye kwa nafasi ya jana alijiita BEPARI LA KIHAYA,alitamka kile unachoweza kukiita 'KAULI-CHOCHEZI' pale alipomtisha kumnyima maziwa nduguye ****-YEUNG(al-maarufu kama MASANJA MKANDAMIZAJI) KWA STAILI ILE ILE ALIYONYIMWA YULE MZEE KEMPISKI.

wazee wangu,naomba tuliangalie hili!...HILI KUNDI LIMESIMAMA WAPI?
LINAKEMEA MAOVU?
LINA BIFU BINAFSI?
LINATETEA MAFISADI?
LINAFICHA MAOVU YA SERIKALI?
LIMESIMAMA KWA WANANCHI?

au 'LINAFUATA UPEPO?'
...................tafakari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…