JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,935
- 3,346
sasa JP hapa unataka tuwacheke au tuwape support?
mimi naona wapo juu sana na wanafanya vitu vyao kwa makini zaidi hata kuringanisha na FUTUHI (ambao kuna wakati wanaudhi kwa kurefusha jambo bila sababu hivyo kupoteza muda)
lakini kila msanii bongo anahitaji support zaidi na sio kuchekwa kama tunavyofanya sasa hivi haya ni mambo ya vijijini na yanarudisha sana maendeleo. LET'S SUPPORT ONE ANOTHER AND MOVE FORWARD
lengo sio kuwacheka watu au kuwakatisha tamaa wanachotakiwa ni kupewa moyo ili waweze kudumu katika sanaa, sasa tunaposema wamepoteza mvuto sio maana yake hawafai au wapo chini si kweli ila tu wakaze buti, na wanapopata changamoto kama hizi ndio na wao wanakua zaidi