Orijino Komedi wanapokashifu afya ya Lowassa, wamesahau ya mwenzao VENGU?

Kikwete alikuwa anashinda uko alikuwa mgonjwa? Je si amemaliza kuongoza?

Ahahahaha mkuu u ar kidding me mtu anapiga hotuba masaa mawili kasimama unasema mgonjwa? Lowasa dk 2 na nusu tu Hoi... Acheni unafiki bwana penye ukweli pasemwe tu.
 
Wagonjwa ni wengi kwanini Ugonjwa wa Mgombea huyu ndo umekuwa ni issue??? hili ndo swali la kwanza kujiuliza....Jibu nadhani ni kutokana na Nafasi anayoiwania, angekuwa na Ukimwi, pressure, sukari na mengineyo isingekuwa gumzo au hata kama angekuwa anagombea ubunge jimboni kwake hakuna angetaja ugonjwa wake nadhani kutokan na nafasi anayogombea imekuwa ni tatizo, Muhimu nikukumbuka kwamba maradhi ni jambo la kawaida kwa binadam wanaodhihaki hawafanyi vyema na ambao wanajiona ni wagonjwa wajipangie kazi za kufanya au kupumzika kabsaa na sio kulazimisha mambo.
 

Watu wengi especially wanasiasa wamekuwa wakimdhihaki Edward Lowasa juu ya afya yake mf yule kiongozi wa kampeni wa ACT, aliongea jukwaani hadi zitto akaomba msamaha... Mm naona ni ushamba na Kuishiwa Sera! Kumkashifu mtu afya yake wakati hujui second moja mbele utakuwa na hali gn... Ni utaahira wa kueleweka.

The
 
Ni wavivu wa kufikiri hao ze komedi wao ni madakrari kujadili afya ya mtu???
Sijui wasanii wengine wanawazaga nini???

Wamelewa sifa. halaf hawajijui tu umaarifa wao umeshuka. Mm nw hata sijui siku hz wako channel gn.. mara ya mwisho kuwaona ni muda mrefu hata sikumbuki
 
Acheni unafiki nyinyi ukawa... Kazi ya urais sio lelemama inahitaji mtu ambaye ni energetic physically and mentally.... Sasa mnaelimishwa kwamba mtu wenu mgonjwa hamuelew.. Hongera original comedy nyinyi msipowapenda sisi tunawapenda

Mwenye afya km kikwete aliyekuwa akidondoka dondoka jukwaani? Acheni hz bwana
 

Hilo ni kweli si vizuri sisi ni binadamu ya kesho huyajui hy mambo ya siasa yatakwisha watu wataendelea na maisha kashfa kwa ugonjwa si sahihi M/Mungu atunusuru na kauli zetu za kusikitisha na kuogopesha
 
Usenge.
Nibora uamini kuwa Yupo uende Usimkute.

Kuliko kutoami kuwa hayupo Kisha umkute. Utaumbuka.
 
Ahahahaha mkuu u ar kidding me mtu anapiga hotuba masaa mawili kasimama unasema mgonjwa? Lowasa dk 2 na nusu tu Hoi... Acheni unafiki bwana penye ukweli pasemwe tu.

naona mwaka 2010 wakati jk anaangukaanguka ovyo majukwaani na kuzirai ulikuwa bado upo kwenu chato vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…