Orijino komedy wameishiwa

Orijino komedy wameishiwa

Upo vizuri waberoya,ila kilichowatoa eatv u know is just vitna za mafahali 2,mean mengi na manji.naskia manji kawatosa
 
Watakuwepo Arumeru wakitafuta laana zaidi............
 
Nao huwa wanaigiza siasa mpenzi,na pia wanatumika na magamba majukwaani

Mkuu DALLAI LAMA, Wamekula vya Magamba nao wameota Magmba, mimi baada ya kuona wanawatumikia mashetani (sahani hii ni tasfili yangu baada ya kuona serikali ya ccm inawagiza pilisi kututwanga risasi bila huruma), hawa The Orijino Komedy naona ni wacheleweshaji wa uhuru wetu.
 
Upo vizuri waberoya,ila kilichowatoa eatv u know is just vitna za mafahali 2,mean mengi na manji.naskia manji kawatosa

U re very right mkuu!mbaya zaidi wakaanza kutukana watu,na kuwacheka wamefua sijui mara nini!they were so stupid,hawakujua kua kudeal na watu wa magamba na mafisadi kama Manji yahitaji akili ya ziada!
 
Mkuu DALLAI LAMA, Wamekula vya Magamba nao wameota Magmba, mimi baada ya kuona wanawatumikia mashetani (sahani hii ni tasfili yangu baada ya kuona serikali ya ccm inawagiza pilisi kututwanga risasi bila huruma), hawa The Orijino Komedy naona ni wacheleweshaji wa uhuru wetu.

umenena kamanda,acha wafulid
 
U re very right mkuu!mbaya zaidi wakaanza kutukana watu,na kuwacheka wamefua sijui mara nini!they were so stupid,hawakujua kua kudeal na watu wa magamba na mafisadi kama Manji yahitaji akili ya ziada!

magamba waliwafanya ..NDOM
 
Mie nadhani tumewazoea tu
mie huwa siangalii mara kwa mara lakini siku nikipata chance kutizama huwa nacheka sana coz nakua naona kama wamekua wapya vile! Any ways ndio maisha
 
Oj mmefuliaaaaaaaaaaa
kwi kwi kwe kwe kwi kweee
we J aka pimbi c ndo ulikuwa unajivuna kwa vijihera vy manji kuwatukana wenzio kuwa wamefulia, upo wapi leo?
We M c unajifanya umeokoka hali matendo yako hayaendani na wewe?
We Mp c ulijfnya unaiga sauti ya Kmb yule anayeimba na T*T na kumzalilisha baba wa watu
kwi kwe kwi mmefulia nyie..
Wapi FUTUHI? Wapi R.Mengi much respect.
 
Maskini hao watu wataweka wapi sura zao, bora masanja anajaribu ulokole
 
Mmefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwikwikwi, mmefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Chakachua nikuchakachue, namwaga chini mbwarararararararrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
ukiipenda ichukue usipoipenda ipotezeee
Hunilishi sikulishi, hunivishi sikuvishi. Mapowdaaaaaaaaaaa

sasa kwishney
 
So everything has become political in Tanzania?

Politics (in African countries) has a lot of influence on everyday life.
The case of Tido Mhando, was typical political.
TBC1 wanavuna kilichopandwa na wanasiasa.
 
Back
Top Bottom