Orodha halisi ya nchi 90 zinazoongoza kwa matukio ya utekaji nyara, kuumizwa, na mauaji kulingana na data mbalimbali za kimataifa za uhalifu

Weka chanzo cha taarifa
 
Kuna nchi umeiweka kwa kuionea ukaichomoa Tanzania. Na hiyo nchi ni kati ya namba moja hadi sita. Kama unabisha leta link tuone
 
Mbona Rwanda inaoneka mara 2: Na 20 na 27?
 
Kuna nchi umeiweka kwa kuionea ukaichomoa Tanzania. Na hiyo nchi ni kati ya namba moja hadi sita. Kama unabisha leta link tuone
Siwezi kufanya hivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…