Orodha halisi ya nchi 90 zinazoongoza kwa matukio ya utekaji nyara, kuumizwa, na mauaji kulingana na data mbalimbali za kimataifa za uhalifu

Mpaka sasa hujaweka source, kwa nini?
 
Ripoti uchwara
 
Namva 20 na 27 mbona zote Rwanda, nina mashaka na hii list. By the way what is the source?
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€” lengo la hii uzi n nn? Kama Tanzania aipo sion cha maana
 
Haipo kwa kuwa wanaoteka ni Polisi/vyombo vya usalama.Ila KARMA ipo hasa kwa viongozi wanaojua na kushiriki na kunyamaza.
 
Kwasababu sijaiona Tanzania hapo, basi hii list ni batili.
 
Naona lengo nikuonyesha tunateka ila bado hatujafikia level ya kimataifa ,tunaendelea ili tuwe kileleni.
Utekaji ni swala Pana tusiangalie kwenye angle moja ya siasa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…