Orodha halisi ya nchi 90 zinazoongoza kwa matukio ya utekaji nyara, kuumizwa, na mauaji kulingana na data mbalimbali za kimataifa za uhalifu

Tatizo kuna nchi mliombea iwepo kwa bahati mbaya haipo
Tatizo habari haina source.

Tanzania mbona kutekana tumeanza juzi tu wakati kutekana watu wameteka mpaka viongozi wa serikali miaka kibao huko?
 
Hii ripoti kuna namna imeandaliwa lumumba street, hapo kwenye nchi zilizo jirudia ndio bongo yetu ilipo.
Lumumba ndiyo wapi?mm nipo kijijini uku germani wilaya ya ikungi mkoa wa Singida lumumba sipajui
 
HIzo nchi zinazo ishia na STAN ni balaa. Ila bongostan na Tanzaniastan sizioni
 
Bado Tanzania hamna. Tanzanians we are so safe!!
 
Ya mwakamganinhii au umeamua kutunga tu, au unatuonea gere Tz tunavyopaa kimataifa ktk uga huo
 
Mbali na link,ripoti ni batili kwasababu Rwanda imejirudia no 20 na 27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…