Orodha halisi ya nchi 90 zinazoongoza kwa matukio ya utekaji nyara, kuumizwa, na mauaji kulingana na data mbalimbali za kimataifa za uhalifu

Walete list ingine ya utekaji na mauaji kwa malengo ya kisiasa
Ngoja nifatilie report za kimataifa then niwaletee ila msiwe na majibu yenu kuweni na imani na ripoti zilizofanyiwa tafiti za kutosha
 
Mna uhakika na hii ripoti, anyaway sina mwanasheria
 
Lengo hasa ni kutaka kuaminisha umma kwamba Tanzania hakuna utekaji na kama upo hatupaswi kuuchukulia serious! Kama Kuna mahali Kuna spare ya uhai, basi kifo ni kifo tu!
Be serious humanity is to value human life!
 
Wewe ndo umesema,mm nimetaja list to za nchi kulingana na ripoti mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…