Orodha kamili ya makatibu wakuu wa CCM tokea ilipoanzishwa mwaka 1977

mapanyarodi na manyumbu haikua inawahusu sana japo si mbaya mkaelewa historia hiyo mujarabu sana😎
Hiyo list wanataka kujua mapeasant. Hamna mjanja wa town anashoboka na chama la majizi.
 
Sasa ndo ujiulize kwwanini Ulikatwa 😅😅😅
Mimi sikufanyiwa usaili kwa hiyo sitaki habari sijuwi ulinifanyia usaili wala nini . Labda kama ulimfanyia usaili mtu ambaye tunafanana ukoo maana walikuwepo wengi tu wa ukoo wangu wakina Mwashambwa ambao nao pia hatujuani kila mtu kivyake 😀😀😀. Kwa hiyo naamini hunifahamu hata kidogo.
 
wabunge wanaowaita wa covi-19 asilimia 85 ni wives zao eti wanawafukuza chamani kwao 😀 jamaa kwa maigizo hawa dah
Halafu wanavichekesho Sana CHADEMA, Kama wamefukuzwa Kwenye Chama kwanini Report ya Mahakama Ilivyosema Kuhusu Kikao Cha kamati kwanini Kamati isikutane kujadili kuhusu COVID 19 inakutana kujadili maandamano peke yake?

Sisemi maandamano Si haki ni Hali ila Mbowe pia hatuna Imani naye
 
🤣🤣
Lucas Hebel Mwashambwa anaekaa Mbozi..
SLP 66 ni nani?

Hukufanya ndio kwa sababu tulikukata..

NB: Angalau sahz tunaona Juhudi zako Utapata kazi soon
 
🤣🤣
Lucas Hebel Mwashambwa anaekaa Mbozi..
SLP 66 ni nani?

Hukufanya ndio kwa sababu tulikukata
Kwani nani kasema Mbozi nakaa peke yanguu. Ukoo na wakina Mwashambwa wote wanapatikana Mbozi .kwa hiyo siyo mimi unayenifananisha na huyo uliyemfanyia usaili .
 
Hiyo list wanataka kujua mapeasant. Hamna mjanja wa town anashoboka na chama la majizi.
Kwa taarifa yako ni kuwa hata huko CHADEMA wapo wengi tu waliopo huko kimwili lakini kiakili na kimawazo wapo CCM muda wote.
 
Kwa taarifa yako ni kuwa hata huko CHADEMA wapo wengi tu waliopo huko kimwili lakini kiakili na kimawazo wapo CCM muda wote.
Ukiona mtu Yuko cdm kisha anaifagilia ccm, huyo ni pandikizi. Hakuna mwanacdm anaibabaikia ccm, Wala haitakaa itokee.
 
Peleka huko magonjwa sugu hayo hayana tija kwetu
 
Si ungetukuta tunajipendekeza kwa hilo chama la majizi?
Kila mtu atakuja CCM kutoka CHADEMA kwa wakati wake.Aliondoka Dr Slaa sembuse wewe Tindo? Hata wewe ipo siku utaingia ndani ya CCM na kuvaa sare yetu.
 
Kila mtu atakuja CCM kutoka CHADEMA kwa wakati wake.Aliondoka Dr Slaa sembuse wewe Tindo? Hata wewe ipo siku utaingia ndani ya CCM na kuvaa sare yetu.
Dr, Slaa hata alipojiunga na cdm Bado alikuwa na kadi ya ccm, huwezi kumfananisha na Mimi. Kama ni kujiunga na ccm ningeshajiunga muda mrefu sana. Hongo za kipuuzi nimeshakutana nazo sana. Mimi na chama la majizi na Paka na panya.
 
Kwani Mbowe amekwambia hana kadi ya CCM?
 
Hiyo list wanataka kujua mapeasant. Hamna mjanja wa town anashoboka na chama la majizi.
sasa mbona unashadadia japo inakusoninesha na kukughadhabisha kama sio shobo izo 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…