Sasa watu wananuka vinyesi si wataleta nzi kwenye hiyo top 20Mbona siwaoni watani zangu hapo, ha ha ha.
[emoji23] Mkuu jiandae kwa mashambulizi.Sasa watu wananuka vinyesi si wataleta nzi kwenye hiyo top 20
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooooo. Hebu amka, kumekuchaaah.Mwanaume anaanza rasmi mkatati wa kufika top 3 kuanzia msimu huu,apo walipofika makolo hata namungo anaweza fika
Kwahyo unabishiana na CAF..?Simba iko juu ya TP Mazembe au Sio????
Wonders shall never end........ kwa vigezo gani??Kwahyo unabishiana na CAF..?
Waulize CAF...list ndio hiyo..ukibisha andamanaWonders shall never end........ kwa vigezo gani??
1. Al Ahly πͺπ¬
2. Wydad Casablanca π²π¦
3. Petro de Luanda π¦π΄
4. CR Belouizdad π©πΏ
5. Raja Casablanca π²π¦
6. Mamelodi Sundowns πΏπ¦
7. Pyramids FC πͺπ¬
8. ES Setif πΉπ³
9. Zamalek SC πͺπ¬
10. JS Saoura π©πΏ
11. RSB Berkane π²π¦
12. Simba SC πΉπΏ
13. Orlando Pirates πΏπ¦
14. Al Hilal πΈπ©
15. Esperance πΉπ³
16. TP Mazembe π¨π©
17. JS Kabyile π©πΏ
18. Rivers United FC π³π¬
19. Al Ahli Tripoli π±πΎ
20. Al Merreikh πΈπ©
Credit: Micky Jr
Mamalodi au sio?List yangu
Al ahly
Wydad
Raja
Pyramids
Zamalek
Belouizdad
Mamalodi
CAF huwa hawafanyi ranking kinyume na 5 year ranking pekee. Hivyo kwa misingi ya CAF ranking kuna timu zipo nafasi ambazo sio zao. sio rank official kutoka CAF hiyo1. Al Ahly [emoji1093]
2. Wydad Casablanca [emoji1173]
3. Petro de Luanda [emoji1029]
4. CR Belouizdad [emoji1026]
5. Raja Casablanca [emoji1173]
6. Mamelodi Sundowns [emoji1221]
7. Pyramids FC [emoji1093]
8. ES Setif [emoji1249]
9. Zamalek SC [emoji1093]
10. JS Saoura [emoji1026]
11. RSB Berkane [emoji1173]
12. Simba SC [emoji1241]
13. Orlando Pirates [emoji1221]
14. Al Hilal [emoji1232]
15. Esperance [emoji1249]
16. TP Mazembe [emoji1078]
17. JS Kabyile [emoji1026]
18. Rivers United FC [emoji1184]
19. Al Ahli Tripoli [emoji1149]
20. Al Merreikh [emoji1232]
Credit: Micky Jr
thubutu,,,aweke tuone!Mamalodi au sio?
Weka na Nnya FC basi
Ndio nimeshangaa yaan Simba iwe juu ya TP MAZEMBESimba haiwezi kuwa juu ya Mazembe. View attachment 2307015