Naomba kujua kuna watumishi waliondolewa kwenye utumishi ili kupisha zoezi la uhakiki baada ya hilo zoezi kukamilika walilejeshwa sasa imetoka orodha ya watumishi waliohakikiwa ya kila mkoa je na wale walioondolewa kwanza ni miongoni au wao hawausiki na hiyo orodha??